×


Championi

Kiiza nje wiki mbili

STRAIKA wa Simba, Hamis Kiiza atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza maumivu ya nyama za paja akiwa mazoezini. Kiiza raia wa Uganda aliyejiunga…

SOMA ZAIDI

Mambo yazidi kumnyookea Uhuru Sauz

NYOTA wa zamani wa Simba, Uhuru Suleiman sasa anakipiga katika Klabu ya Royal Eagles ya Afrika Kusini kwa mkopo akitarajiwa kurejea Jomo Cosmos, lakini Mamelodi…

SOMA ZAIDI

Simba yaletewa straika zaidi ya Ngoma

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam SIMBA imeambiwa wala isiwe na papara kikifika kipindi cha usajili wa dirisha dogo kwani ikitaka italetewa straika hatari zaidi ya Donald…

SOMA ZAIDI

Zamu yao

ZAMU Yao! Leo Jumamosi Simba na Yanga zinapambana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mechi ya Ligi Kuu Bara, makocha wa timu hizo…

SOMA ZAIDIAmissi Tambwe hizi sasa dharau

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe amewata mashabiki wa timu yake kutulia na kutohofia lolote katika mechi ya leo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba,…

SOMA ZAIDISimba ikiingia mtego huu imekwisha

KOCHA Hans van Der Pluijm amesisitizia wachezaji wake kucheza mipira ya chini kila wanaposhambulia na mwisho wa kucheza mipira ya juu ni katikati ya uwanja…

SOMA ZAIDI

Kiiza agoma Simba, kocha amtuliza

KINARA wa mabao katika Ligi Kuu Bara, Hamis Kiiza, jana Ijumaa aligoma kuendelea na mazoezi ya asubuhi na wenzake baada ya kutoridhishwa na mwamuzi wakati…

SOMA ZAIDI

Simba waponda mazoezi ya Yanga

MASHABIKI wa Simba wameyabeza mazoezi ya Yanga kwa kusema ni ya kawaida na kamwe wasijidanganye kama yatawawezesha kuifunga timu yao. Mmoja wa wapenzi wa Simba…

SOMA ZAIDI


Tambwe amvaa Kiiza, ampiga mikwara

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Wilbert Molandi, Dar es Salaam LICHA ya ‘hat trick’ aliyoipiga mshambuliaji mpya wa Simba Mganda, Hamis Kiiza, lakini mshambuliaji wa…

SOMA ZAIDIKiiza: Yanga hii, lazima niifunge

HAMIS Kiiza wa Simba ana uchungu wa kuachwa bila sababu ya msingi na Yanga, sasa amesema atahakikisha anaifunga timu yake ya zamani atakapokutana nayo Jumamosi…

SOMA ZAIDIYanga yaweka benchi Sh mil 200

BILA woga, Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm ametamka wazi kuwa kuna ugumu kwa beki mpya raia wa Togo, Vincent Bossou kucheza kikosi cha…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online