×


Championi

Kindoki Aahidi Makubwa Yanga

BAADA ya kufanya vizuri katika mechi za Yanga za hivi karibuni, kipa wa timu hiyo, Klaus Kindoki, raia wa DR Congo, amewaambia mashabiki wa timu…

SOMA ZAIDI


Wawa: Waarabu hawatutishi

BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa licha ya ratiba kuwa ngumu kwao, wanaamini watakwenda kishujaa kucheza na wapinzani wao JS Saoura ambao ni…

SOMA ZAIDI


Chelsea yapata mtihani kwa Zidane

  CHELSEA imetakiwa kuchukua hatua za haraka ili kumwajiri Zinedine Zidane kama kocha wao. Shinikizo hilo linatokana na ukweli kuwa Juventus inataka kumchukua Zidane kwa…

SOMA ZAIDI


Kipigo chainyima Yanga mamilioni

BAO la mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, limezuia shilingi milioni 20 walizoahidiwa kupewa wachezaji wa Yanga kutoka kwa mabosi wao. Timu hizo, zilivaana wikiendi…

SOMA ZAIDI

Kagere, Bocco wapewa milioni 50

MNYARWANDA, Meddie Kagere na John Bocco, ni miongoni mwa wachezaji wa Simba watakaogawana kitita kinono cha shilingi milioni 50 kilichotolewa na uongozi wa klabu hiyo…

SOMA ZAIDIBocco, Kagere waweka rekodi Taifa

WASHAMBULIAJI Wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco, juzi Jumamosi wamefanikiwa kuandika rekodi katika Uwanja wa Taifa baada ya kuongoza timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi…

SOMA ZAIDI

Kagere Afichua siri ya kuwatungua Yanga

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesema kuwa amewafunga Yanga kwa kuwa anatumia akili katika kufunga mabao na siyo uzee wake kama baadhi ya mashabiki wanavyodai….

SOMA ZAIDI

Julio: Yanga Wataifunga Simba

KOCHA wa Dodoma FC ambaye ameshawahi kuichezea na kuifundisha Simba, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’, amefunguka kuwa Yanga wanayo nafasi kubwa ya kushinda mchezo wa Jumamosi kutokana…

SOMA ZAIDI


Mshindi wa Championi achekelea mkwanja

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti namba moja la michezo Championi, Emmanuel Daud, amechekelea kupewa zawadi yake ya ushindi baada ya kujishindia mkwanja aliopewa makao…

SOMA ZAIDI


Simba Yashusha Kocha Mpya

SIMBA haitaki utani kwani imezidi kuliimarisha benchi lake la ufundi, sasa imeamua kumshusha Kocha Msaidizi, Etienne Ndayiragije raia wa Burundi ambaye kama mambo yatakuwa sawa…

SOMA ZAIDI

Ajibu Auwasha Moto Yanga SC

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kutokata tamaa kutokana na matokeo mabovu waliyopata kwenye mechi tatu zilizopita kwani wamepata…

SOMA ZAIDI