×


Championi
Mkude, Tshabalala watupwa nje Simba

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude na beki wa pembeni wa timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, wameondolewa kwenye orodha ya kikosi cha timu hiyo kitakachoivaa…

SOMA ZAIDI

Mbelgiji ampitisha Mnamibia Simba

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amefunguka kuwa kama akiamua kumsajili mchezaji mmoja kwa sasa ndani ya kikosi hicho anamfikiria zaidi straika Mnamibia…

SOMA ZAIDI

Zahera Ajipanga Kuiharibia Simba

BAADA ya hivi karibuni, Yanga kushindwa kufanya vizuri katika michuano ya SportPesa iliyofikia tamati jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kocha mkuu…

SOMA ZAIDI

Simba Yafunguka Hatima ya Aussems

WALE mashabiki wa Simba ambao wanataka kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems atimuliwe kutokana na matokeo mabaya ambayo imeyapata hivi karibuni, hii itakuwa…

SOMA ZAIDI

WALIOTOROKA SIMBA WALIMWA BARUA

MAMBO ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote wanaodaiwa kutoroka kambini na kwenda…

SOMA ZAIDI

Championi Linazidi Kumwaga Simu na Mkwanja

GAZETI la Championi limeanza kurejesha kidogo linachokipata kwa wasomaji wake, hivyo zawadi kemkemu zitamwagwa. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine ya Championi atakuwa na nafasi…

SOMA ZAIDI
LIGI KUU YA ITALIA LIGI YA WABISHI

LIGI Kuu ya Italia imeendelea kushika kasi na Juventus wameonekana kuwa moto sana kwa sasa wakiwa wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa msimu huu….

SOMA ZAIDI


Mo aiondoa Simba Bongo

BILIONEA na mwanachama wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama ameiondoa klabu hiyo katika fikra za kushindana Bongo pekee, baada ya kusema timu hiyo inatakiwa…

SOMA ZAIDI