×


Championi

Yanga yamrudisha Niyonzima Rwanda

Kiungo wake Haruna Niyonzima. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam YANGA itamrudisha Rwanda kiungo wake Haruna Niyonzima kwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi…

SOMA ZAIDI

Manji afanya kufuru ya bilioni nne

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Wandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiwa katika harakati za kuhakikisha mchezo wa soka unapiga…

SOMA ZAIDI

Azam: Simba inaweza kuwa bingwa

Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam PAMOJA na kudondosha pointi tano kati ya sita kwenye mechi dhidi ya Coastal Union…

SOMA ZAIDI


Kessy aigomea Simba, ataka mil 60

Beki wa Simba, Hassan Ramadhan Kessy. Khadija Mngwai, Dar es Salaam BEKI wa Simba, Hassan Ramadhan Kessy, amegomea mkataba wa timu hiyo baada ya ule…

SOMA ZAIDI

Ufafanuzi kadi ya Banda watolewa

Beki wa kati wa Simba, Abdi Banda. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam JUMAMOSI iliyopita beki wa kati wa Simba, Abdi Banda alionyeshwa kadi nyekundu katika…

SOMA ZAIDI


Wahujumu Yanga wakamatwa Manzese

Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas YANGA imewakamata watu wanne waliokuwa wakiihujumu timu hiyo kwa kutengeneza tiketi bandia kisha kuziuza…

SOMA ZAIDI

Tambwe: Kiiza cha mtoto

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Wilbert Molandi, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe ametaja sababu za kumzuia Mganda, Hamis Kiiza kwenye…

SOMA ZAIDI
Yanga wamfuata Baba Kessy

 Beki wa Simba, Hassan Kessy. Waandishi Wetu, Dar es Salaam SIKU chache baada ya Yanga kuifunga Simba mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mdogo wa Ngoma Agongwa, Afariki Dunia

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Said Ally MSHAMBULIAJI wa Yanga, Donald Ngoma anatarajiwa kuukosa mchezo wa kimataifa kesho Jumamosi wakati timu yake…

SOMA ZAIDI

Cannavaro arejea kwa mkwara kilo 200

Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Hans Mloli, Dar es Salaam BAADA ya beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kupewa nafasi…

SOMA ZAIDISimba yamuweka jukwaani Niyonzima

Kiungo wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Said Ally na Omary Mdose KIUNGO wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, atakaa nje ya uwanja kwa siku zisizofahamika kutokana…

SOMA ZAIDI


Beki Simba apigiwa simu za vitisho

Beki wa pembeni wa Simba, Hassan Kessy. Wilbert Molandi,  Dar es Salaam BEKI wa pembeni wa Simba, Hassan Kessy, wikiendi iliyopita aliimaliza vibaya baada ya…

SOMA ZAIDIMwamuzi atishwa, afichwa Dar

Mwamuzi wa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga, Jonesia Rukyaa. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MWAMUZI wa mchezo wa…

SOMA ZAIDI

Yanga Jeuri, Simba Kiburi

Wachezaji wa Yanga, Ngoma (kushoto) na Kamusoko (kulia). Waandishi Wetu, Dar es Salaam DAWA ya Jeuri ni Kiburi, Yanga na Simba leo Jumamosi kwenye Uwanja…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online