×


Championi

Majwega: Azam FC niacheni jamani

Na Wilbert Molandi, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji Brian Majwega ameipigia magoti Azam FC, kwa kusema inatosha kwa mateso inayompa na badala yake imruhusu ajiunge…

SOMA ZAIDI

No Picture

Yanga yamwita Coutinho Dar

Mbrazili, Andrey Coutinho. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam UKISIKIA nyani mzee kukwepa mishale mingi maishani ndiko huku kwa filamu inayoendelea kwa Mbrazili, Andrey Coutinho na Yanga….

SOMA ZAIDI

Yanga yasaka straika wa kazi

Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi YANGA ina washambuliaji watatu wa kutegemewa ambao ni Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Malimi Busungu, lakini bado haijatosheka, uongozi wa…

SOMA ZAIDI

Kerr amchenjia Mavugo

Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr . Hans Mloli, Dar es Salaam WAKATI viongozi wa Simba wakiendelea na harakati za kumnasa Mrundi, Laudit Mavugo huku…

SOMA ZAIDI

Kavumbagu kumpisha Traore Azam FC

Straika wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam IMEVUJA! Licha ya kuwepo kwa taarifa za straika wa Azam FC, Mrundi, Didier…

SOMA ZAIDI

Matola apandishwa ndege kusaini dili

Kocha Msaidizi,  Seleman Matola. Mohammed Mdose, Dar es Salaam ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Simba ambaye hivi karibuni aliamua kukaa pembeni kuinoa timu hiyo, Seleman Matola,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mkwasa ashitakiwa Fifa

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka wa Algeria, Ahmed Boudry ameamua kumfungulia…

SOMA ZAIDI

Caf yazuia usajili Yanga SC

Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi. WAKATI Simba wakiendelea na usajili wa dirisha dogo la usajili msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Yanga wenyewe wamesimamisha zoezi…

SOMA ZAIDI

Mkwasa awaomba waandishi apumzike

Kocha Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa NDOTO za watanzania kushiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi zilisitishwa usiku wa November 17, 2015…

SOMA ZAIDINo Picture

Chalenji yavuruga kikosi Yanga

Wilbert Molandi, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa michuano ya Kombe la Chalenji imezuia kambi na mechi za kirafiki za kimataifa kwa Yanga ilizopanga icheze kama…

SOMA ZAIDI

Kisa Maguri, Aveva avamiwa Dar

Rais wa timu ya Simba, Evans Aveva. Wilbert Molandi, Dar es Salaam MASHABIKI wa Simba wikiendi iliyopita walishindwa kuzizuia hasira na kuvamia Jukwaa Kuu la…

SOMA ZAIDI

Mastaa wawili wanaowindwa na Yanga…

  Wilbert Molandi,Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji, Farid Mussa na kiungo mkabaji, Mudathiri Yahya wanaoichezea Azam FC, wametibua dili la kutua Yanga. Nyota hao ni…

SOMA ZAIDI