×


Hadithi

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..!-15

ILIPOISHIA RISASI MCHANGANYIKO: Hata hivyo, kabla Bigambo hajasema chochote kutokana na kauli ya Vivian alimimina tena ‘nyagi’ kwenye glasi na kuipiga yote kabla ya kumimina…

SOMA ZAIDI

Michirizi Ya Damu – 16

“Jisikie huru!” alisema mzee huyo. “Nashukuru sana!” Mzee Al Fakh akaondoka na kwenda chumbani kwake, alipofika, haraka sana akachukua simu yake na kupiga namba fulani….

SOMA ZAIDI

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-13

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Acha mambo yako bwana, ngoja niondoke,” Vivian alisema huku akikanyaga mguu kwenye kigingi cha kukanyagia kabla ya kukaa vyema kwenye kiti…

SOMA ZAIDI

I Miss My God! (Namkumbuka Mungu Wangu) -02

Msichana mrembo, Jackline Manyilizu anajifungua mtoto mrembo, mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na Kizungu. Ni mtoto mzuri aliyeitwa Theresia, muonekano wake unamfanya kila mtu kujiuliza maswali…

SOMA ZAIDI

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..!-13

ILIPOISHIA KWENYE RISASI MCHANGANYIKO: “Oooh, mama nami naelekea kupasua daaaafuuuu…,” Bigambo aligugumia na hapohapo alizidisha kasi ya ukweaji na kulishika dafu moja kabla ya kuliachilia…

SOMA ZAIDI

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-13

“Baby…” aliita Vivian wakati huohuo mkono wake wa kushoto ukikiparamia kifua cha fundi kilichokuwa wazi na kuiacha bustani ionekane kwa uwazi na ukubwa wa kumezesha…

SOMA ZAIDI

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 50

ILIPOISHIA: “Ndiyo,” nilisema kwa kujiamini, akanitazama usoni kisha akaenda mlangoni na kufungua, akawaita Raya na Firyaal, wakaingia ndani na tukakaa tena kama tulivyokuwa tumekaa mwanzo,…

SOMA ZAIDI

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-11

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Unajua Mungu anatuvumilia kwa mengi sana, mama yangu vile, wewe niamini mimi,” Bigambo alikomelea maneno hayo yasiyofaa na kusikilizika kwa mtu…

SOMA ZAIDI

Michirizi Ya Damu – 16

Akapelekwa katika chumba ambacho alitakiwa kukaa kwa siku zote ambazo angesubiri safari ya kwenda nchini Marekani. Moyo wa Fareed ulikuwa na furaha tele, hakuamini kama…

SOMA ZAIDIUkinipa 900… Itapendeza Zaidi-6

ILIPOISHIA IJUMAA: “Hapana!” “Kuna tatizo kukushika kama hivi?” Asha akausogeza mkono wake hadi mashavuni mwa Shaka… Hakuwa Asha yule aliyezoeleka…kilichomleta ni baada ya jana yake…

SOMA ZAIDI
Jamani Antiii…Nishushe Ununio-10

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: Kwere aliondoka na kumuacha Bigambo akiwaza hili na lile kichwani mwake juu ya namna gani aanze kuishi na wale watu wa…

SOMA ZAIDI

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 47

ILIPOISHIA: “Nataka nikalale na dada Shenaiza,” alisema kwa sauti ya kudeka huku akinisogelea na kujilaza kifuani kwangu, nikapitisha mkono wangu na kumshika kiunoni, nikamuona akiruka…

SOMA ZAIDISeven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 46

ILIPOISHIA: “Ulisema unasomea IT, hebu chukua ile laptop pale uje hapa unisaidie kitu,” nilimtega, naye ni kama alikuwa akiisubiri nafasi hiyo, harakaharaka aliinuka pale alipokuwa…

SOMA ZAIDI

Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI