×


Ijumaa
POSH QUEEN HATAKI KUAJIRIWA

SITAKI! Mlimb-wende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kuwa ni msichana mwenye…

SOMA ZAIDI

MBWEMBWE ZAMUAIBISHA WOLPER

AIBU yake! Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe amekumbwa  na dhoruba ukumbini baada ya kuonesha mbwembwe za kuserebuka muziki juu ya meza kwa staili…

SOMA ZAIDI


SIKIA MAPYA YA ZARI, MOND KUHUSU NDOA

DAR ES SALAAM: Tambo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa ‘zilipendwa’; Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana kurushiana jumbe tofauti…

SOMA ZAIDI

WEMA AMKA, JIPANGUSE NA UKIMBIE!

TANGU ametwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Abraham Sepetu, hajawahi kuchuja. Nyota yake ilianza kung’ara tangu aliposhiriki mashindano ya Kitongoji cha Dar Indian…

SOMA ZAIDI


LULU DIVA AAHIDI NDOA, MTOTO 2019

MWANAMUZIKI na mwigizaji wa filamu Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameweka ‘pleini’ kuwa lazima mwaka unaokuja na yeye ajikwamue kwa kujitoa kimasomaso kuolewa au hata…

SOMA ZAIDIMIMBA YA SARAH WA HARMONIZE ILIVYOYEYUKA

MSHTUKO! Ile mimba iliyokuwa inawanyima usingizi wengi ya mchumba wa msanii wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ aitwaye…

SOMA ZAIDI

WASANII VIJANA MATAJIRI BONGO

TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno kwenye sayari hii ya dunia.  Kwa…

SOMA ZAIDI

KIJANA ALIA…NAKIONA KIFO CHANGU

  INAUMA sana! Kijana Mustafa Saidi (32), mkazi wa Ukonga-Mombasa jijini Dar anadai kukiona kifo chake kutokana na mateso makubwa anayoyapata akisumbuliwa na maradhi ya…

SOMA ZAIDI

BABU SEYA AIBULIWA MAFICHONI

DAR ES SALAAM: ALIPOFUNGWA kifungo cha maisha kwa kosa la ubakaji na ulawiti, mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ mali zake nyingi ikiwemo nyumba zilisambaratika; hata…

SOMA ZAIDI

GIGY AIBARIKI NDOA YA MZAZI MWENZAKE

BAADA ya kumwagana na kila mtu kushika hamsini zake, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibariki ndoa ya mzazi mwenzake, Moj ambaye…

SOMA ZAIDI


RASMI..DIAMOND KUMUOA HUYU !

PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Hicho ndicho kilichotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye rasmi ametangaza kuwa mbioni kumuoa mrembo shombeshombe…

SOMA ZAIDI


Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI