×


IjumaaTunda atangaza ndoa na Young D

Imelda mtema Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa…

SOMA ZAIDI

Patoranking akana kuwa na mtoto!

STAA wa muziki Naija, Patrick Nnaemeka Okorie ‘Patoranking’ juzikati alikuja juu baada ya kuambiwa kuwa ana mtoto. Kung’aka huko kumekuja ikiwa ni siku chache tangu…

SOMA ZAIDI

Kaburi la Ballali kufukuliwa

Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali HII mpya! Kuna madai kwamba, kaburi la aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya…

SOMA ZAIDI

No Picture

Wolper Ndoa Yamtia ­‘Uchizi’

BRIGHTON MASALU CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na…

SOMA ZAIDI

Shilole adaiwa kupangiwa jumba na kigogo!

HAMIDA HASSAN NA IMELDA MTEMA UBUYU! Taarifa iliyotua kwenye Dawati la Ijumaa Wikienda inadai kuwa, mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amepangiwa bonge la jumba maeneo ya…

SOMA ZAIDI

Sharobaro amfanyia fujo Dk. Magufuli…

Richard Bukos, Kilimanjaro  Wahenga walisema utakiona cha mtema kuni! Ndivyo ilivyomtokea kijana anayedaiwa ndiye sharobaro maarufu eneo la Himo katika Jimbo la Vunjo, Kilimanjaro aliyejitambulisha…

SOMA ZAIDI


Gairo wamtaka Shabiby tu

Mgombea ubunge wa jimbo la Gairo mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hemed Shabiby akihutubia wananchi. Mwandishi wetu, Gairo WAPIGAKURA wa Jimbo la…

SOMA ZAIDI


Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu Siku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka…

SOMA ZAIDI

Baby Madaha ajiachia na bwana Dubai

Gladness Mallya STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha amedaiwa kupata mchumba ambaye ni mfanyabiashara wa mafuta mwenye asili ya Kiarabu anayefanya mishe zake…

SOMA ZAIDI


Jokate kumzalia Ali Kiba Mtoto wa 4

Hamida hassan Habari ‘hot’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo ambaye ni Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ anatarajia kumzalia…

SOMA ZAIDI

Birthday ya Diamond Pombe, mademu usipime

Musa mateja Usipime! Ndugu, jamaa na marafiki wa staa bab’kubwa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wikiendi iliyopita wamekula bata la hatari katika…

SOMA ZAIDI

Mke, mchepuko wagombea maiti!

Mke wa marehemu, Anna. Dustan Shekidele, Moro Kha! Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Bella aliyedaiwa kuwa ‘mchepuko’ wa mwanaume aitwaye Lugano aliyefariki dunia wiki iliyopita,…

SOMA ZAIDI

Mrembo anaswa akiiba Supermarket

Imelda Mtema Ni aibu 100%! Mrembo mkali aliyetambuliwa kwa jina moja la Winifrida, amekumbwa na fedheha ya aina yake baada ya kunaswa akiiba pafyumu kwenye…

SOMA ZAIDI

‘Mtikila ameuawa’

Na Mwandishi Wetu KIFO cha Mchungaji Christopher Mtikila (65) aliyezaliwa mwaka 1950, kimezua utata ambapo baadhi ya watu wa karibu na mwanasiasa huyo wanadai kwamba…

SOMA ZAIDI


Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI