×


Ijumaa

No Picture

Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Ijumaa

Modo hamisa Mobeto alia… Lulu kanipora bwana! ==>Ijumaa lapenyezewa siri ==>Lulu abanwa anena ==>Hamisa afunguka mazito ==>Je unataka kumjua bwana mwenyewe, kilichotokea je? Suala la…

SOMA ZAIDI

Mgoni amuua mwenye mke!

Marehemu Coster Peter Makalius enzi za uhai wake. Dustan Shekidele, Moro Madai mazito! Kigogo wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Kijiji cha Vitonga Kata ya Malali Wilaya…

SOMA ZAIDI


Wastara akatwa mguu!

Imelda Mtema  Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji…

SOMA ZAIDI

Kajala apata pigo

Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja. Imelda mtema POLE! Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja hivi karibuni alipata pigo…

SOMA ZAIDI

Joanita:Nipisheni Mkongwe Nimerudi

 Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’. Stori: Imelda Mtema I’AM back! Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’…

SOMA ZAIDI

Dude: Rais Magufuli Kanyaga Twende

Stori: Gabriel Ng’osha  HAPA mchezo! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtaka Rais John Pombe Magufuli kukanyaga spidi ya maendeleo kama alivyoonesha hivi karibu…

SOMA ZAIDI

Mume amtetea Jack wa Chuzi kukosa Mtoto

Stori: Imelda Mtema MASKINI! Mume wa mwigizaji wa Bongo Movies, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amewataka watu wanaomsema mkewe huyo kuwa hapati mtoto, waache…

SOMA ZAIDI

Thea: Nikijichubua Nisulubiwe

Stori: Imelda Mtema IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amekula kiapo cha aina yake kwamba siku akionekana amejichubua…

SOMA ZAIDI

Mke amfanyia umafia mwanaye umafia

Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Fauzia Abeid ‘Mama Timotheo’, mkazi wa Kimara-King’ong’o jijini Dar, anadaiwa kumfanyia umafia mwanaye, Timotheo ili kumkomoa mumewe. Tukio hilo la…

SOMA ZAIDI

Mr Bean aachana na mkewe kisa, kibinti

County Durham, Uingereza Muigizaji na mchekeshaji maarufu duniani, Rowan Atkinson ‘Mr Bean’ amelazimika kutoa talaka ya haraka kwa mkewe Sunetra Sastry baada ya kugundulika kuwa…

SOMA ZAIDINo Picture

Yaliyomo kwenye Gazeti la Ijumaa, leo

Ziara zake za kushtukiza… Magufuli azua kizaazaa Moro -Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa -Kweli hapa kazi tu! -Unataka kufahamu tukio zima lilikuwaje? Ray C arekodiwa Video…

SOMA ZAIDI
Ray C arekodiwa video ya X

Imelda Mtema Mwanamuziki Rehema Charamila ‘Ray C’ amekumbwa na aibu ya aina yake baada ya hivi karibuni kuvuja ‘video’ inayomuonesha akiwa mtupu huku akikata viuno….

SOMA ZAIDI

Wananchi wazidi kuibana Tigo

Mwandisi wetu KUFUATIA utetezi wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo, juu ya kushindwa kutoa huduma kwa wateja wake siku nzima ya Jumapili iliyopita,…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online