×


Ijumaa

Shilole adaiwa kupangiwa jumba na kigogo!

HAMIDA HASSAN NA IMELDA MTEMA UBUYU! Taarifa iliyotua kwenye Dawati la Ijumaa Wikienda inadai kuwa, mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amepangiwa bonge la jumba maeneo ya…

SOMA ZAIDI

Sharobaro amfanyia fujo Dk. Magufuli…

Richard Bukos, Kilimanjaro  Wahenga walisema utakiona cha mtema kuni! Ndivyo ilivyomtokea kijana anayedaiwa ndiye sharobaro maarufu eneo la Himo katika Jimbo la Vunjo, Kilimanjaro aliyejitambulisha…

SOMA ZAIDI


Gairo wamtaka Shabiby tu

Mgombea ubunge wa jimbo la Gairo mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hemed Shabiby akihutubia wananchi. Mwandishi wetu, Gairo WAPIGAKURA wa Jimbo la…

SOMA ZAIDI


Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu Siku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka…

SOMA ZAIDI

Baby Madaha ajiachia na bwana Dubai

Gladness Mallya STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha amedaiwa kupata mchumba ambaye ni mfanyabiashara wa mafuta mwenye asili ya Kiarabu anayefanya mishe zake…

SOMA ZAIDI


Jokate kumzalia Ali Kiba Mtoto wa 4

Hamida hassan Habari ‘hot’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo ambaye ni Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ anatarajia kumzalia…

SOMA ZAIDI

Birthday ya Diamond Pombe, mademu usipime

Musa mateja Usipime! Ndugu, jamaa na marafiki wa staa bab’kubwa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wikiendi iliyopita wamekula bata la hatari katika…

SOMA ZAIDI

Mke, mchepuko wagombea maiti!

Mke wa marehemu, Anna. Dustan Shekidele, Moro Kha! Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Bella aliyedaiwa kuwa ‘mchepuko’ wa mwanaume aitwaye Lugano aliyefariki dunia wiki iliyopita,…

SOMA ZAIDI

Mrembo anaswa akiiba Supermarket

Imelda Mtema Ni aibu 100%! Mrembo mkali aliyetambuliwa kwa jina moja la Winifrida, amekumbwa na fedheha ya aina yake baada ya kunaswa akiiba pafyumu kwenye…

SOMA ZAIDI

‘Mtikila ameuawa’

Na Mwandishi Wetu KIFO cha Mchungaji Christopher Mtikila (65) aliyezaliwa mwaka 1950, kimezua utata ambapo baadhi ya watu wa karibu na mwanasiasa huyo wanadai kwamba…

SOMA ZAIDI


Wastara aonesha mahaba niue live

staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Bond Bin Sinan wakiwa katika…

SOMA ZAIDI


TID alala selo siku 3

Mkali wa voko kunako Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’. Musa mateja Mnyama Unyamani! Mkali wa voko kunako Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’, amejikuta…

SOMA ZAIDI

CCM: Nafuu Kingunge ameondoka

Kada wake mkongwe, Kingunge Ngombare Mwiru. Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimepata unafuu mkubwa baada ya kuondoka kwa kada wake mkongwe, Kingunge…

SOMA ZAIDI

No Picture

Vilio vyatawala nyumbani kwa mtikila!

Haruni Sanchawa SIMANZI, vilio na huzuni vimetawala nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila mara tu baada ya familia yake kupokea…

SOMA ZAIDI

Saa 94 kabla ya kifo cha mtikila

Elvan Stambuli Ni vigumu kuamini! Mchungaji Christopher Mtikila aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Msolwa wilayani Bagamoyo, Pwani, Jumatano iliyopita alitembelea ofisi…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online