×


Kimataifa


Museven Ashinda Urais Uganda

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi. Rais Museveni alipata kura 5,617,503 sawa na asilimia…

SOMA ZAIDIAjali yaua 50 Ghana

Takriban watu 50 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha miaka mingi. Basi moja lililokuwa limejaa abiria liligongana…

SOMA ZAIDI


Mlipuko waua 28 na kujeruhi 61 Uturuki

Vikosi vya zimamoto vikipambana na moto uliosababishwa na mlipuko. Moshi mkubwa ukitoka katika eneo ulipotokea mlipuko jana mjini Ankara, Uturuki huku wanausalama nao wakiwa eneo…

SOMA ZAIDITrump: Uchaguzi Urudiwe Iowa

Donald Trump ANAYEWANIA kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kwa kupitia Chama cha Republican, Donald Trump anataka uchaguzi wa mchujo wa kuteua atakayegombea urais kupitia chama…

SOMA ZAIDIJamii Yawatenga… Kisa Kuiba Sanamu za Urithi

Sanamu zilizoibiwa baada ya wezi hao kukamatwa.Wezi wakitembezwa mitaani. Sanamu zikirudiswa kijijiniWanakijiji wakizikagua sanamuWanakijiji wakipika na kufanya sherehe baada ya sanamu za urithi wa kijiji…

SOMA ZAIDI

Sir Terry Wogan afariki dunia

Sir Terry Wogan enzi za uhai wake. Mtangazaji nguli wa Televisheni na Radio wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Sir Terry Wogan amefariki dunia…

SOMA ZAIDI

Marekani yakumbwa na theluji

Mwananchi akikatiza katika mitaa ya New York, Marekani ambayo nayo imekumbwa na theluji. Gary Utley wa Alexandria akivuta gari lake aina ya Jeep kulitoa kwenye theluji. Wananchi wakisaidiana…

SOMA ZAIDI

Al Qaeda Yashambulia Burkina Faso

Mabomu yakilipuka kwenye hoteli ya Splendid mjini Ouagadougou. Ouagadougou, Burkina Faso Takriban mateka 30 wameokolewa baada ya wapiganaji kushambulia hoteli moja katika Mji Mkuu wa Ouagadougou nchini Burkina…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online


ZILIZOSOMWA ZAIDI


Error type: "Bad Request". Error message: "Bad Request" Domain: "usageLimits". Reason: "keyInvalid".

Did you added your own Google API key? Look at the help.

Check in YouTube if the id youtube belongs to a username. Check the FAQ of the plugin or send error messages to support.