×


Makala za Burudani
Njia za uzazi wa mpango

Ili watoto wakue vizuri baada ya kuzaliwa, ni lazima wapate mahitaji muhimu na ya lazima, ikiwemo kunyonyeshwa maziwa ya mama kwa muda unaostahili, kupatiwa chakula…

SOMA ZAIDI
No Picture

Shoga:Usisahau choroko nazo mboga

KILA inapofika siku ya leo Jumanne nikiwa mzima wa afya huwa namshukuru Mungu, natumai na wewe hufanya hivyo. Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu tui la nazi…

SOMA ZAIDI

No Picture

Njia 6 kukusaidia kupata kazi kirahisi

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko safi na unaendelea vyema na majukumu yako. Leo ningependa tuzungumzie mbinu za kutafuta na kupata kazi kirahisi kutokana…

SOMA ZAIDI


No Picture

Mjue mpenzi mkorofi

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Kwa wale wazima kama mimi ni jambo la kumshukuru Mungu. Hivi…

SOMA ZAIDI

No Picture

Shoga; chakula ni siri yako na mumeo!

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema iliyoniwezesha kuandaa hiki nilichoamua kuzungumza nawe kupitia safu yetu hii. Wiki iliyopita nilitoa mada ya…

SOMA ZAIDI

Baba mkwe wangu ananitaka kimapenzi!

ANTI Liz, assalaam aleykhum! Ni matumaini yangu kwamba umesherehekea vizuri Sikukuu ya Idd na unaendelea vizuri na kazi. Mimi ni mwanamke nipo kwenye ndoa na…

SOMA ZAIDI

Ukiwa na hamu, ndoa utaiona tamu

MMH! Makubwa madogo yana nafuu, kweli maisha yamekuwa zigizaga, vipofu ndiyo wanaotuongoza, matokeo yake tunatumbukia shimoni. Kwa hili siwezi hata kidogo kulifumbia macho, kwa nini…

SOMA ZAIDI

No Picture

Nani kasema mwanamke aliyezaa haolewi?

Karibuni wapenzi wanajamvi. Ni siku nyingine tumepewa na Mungu tuweze kupeana elimu katika safu yetu hii ya uhusiano. Ninaamini Mungu ametujalia neema hii ya kujifunza…

SOMA ZAIDI

No Picture

Unatarajia kuoa/kuolewa? hii inakuhusu!

KILA siku ninayoamka huanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka salama, natumai na wewe msomaji wangu hufanya hivyo. Kwa wale wagonjwa nao huwa nawakumbuka, naimani…

SOMA ZAIDI


No Picture

Amekuacha? Fanya hivi!!

NAAM mpenzi msomaji wa Sindano za Mahaba, tumekutana tena, kwa wale wagonjwa siku zote nimekuwa nikiwapa pole na kwa wale ambao wapo katika Mfungo wa…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online