×

Makala za Mahaba
Kweli Mpende Sana Lakini Weka Akiba!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume. Hapo ndipo…

SOMA ZAIDI


Penzi Lenye Maumivu-3

Shuleni huko, Rahma hakutaka kurudi nyumbani kwani alikuwa na kazi nyingi, lakini kila siku alihakikisha anashinda shuleni hapo akimsubiri mtoto wake. SONGA NAYO… HAKUTAKA mwalimu…

SOMA ZAIDI


Ndoa Isikufanye Uwe Na Papara

NDOA ni jambo la heri kwa kila mwanadamu hasa anapokuwa amefikia wakati wa kuolewa au kuoa, kwani kwa tamaduni za kiafrika ukifikisha umri flani hujaolewa…

SOMA ZAIDIKufeli Kwa Figo (Kidney Failure)

KUFELI kwa figo, ni hali ambayo hutokea taratibu na ni vigumu kwa mtu wa kawaida kujua kwamba figo zake zinaelekea kufeli. Yapo mambo mengi yanayoweza…

SOMA ZAIDI


Shoga; Ukipendwa Hupendeki, Usipopendwa Je?

MFYUUUUU! Kwa hasira zangu nilizonazo nimeona ni heri nianze na kusonya kwanza ili angalau nipunguze jazba kidogo. Haiwezekani mwanamke umempata mwanaume anayekupenda na kukujali halafu…

SOMA ZAIDI