×

Makala za Mahaba na Maisha

Shoga: Maji ya Mchele Hayaonjwi!

  KAMA nakuona vile jicho kodo kisa kuangalia eti leo MC Sophy atamchamba nani? Unikome, sipo hapa kumchamba mtu miye! Hapa unapata elimi bibi wewe

SOMA ZAIDISababu za Wapenzi Wengi Kuchepuka

MPENZI msomaji wangu, kasi ya kusalitiana kwa wapenzi imekuwa ikiongezeka kila kukicha kiasi kwamba unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi unahisi kama unaingia kwenye matatizo makubwa

SOMA ZAIDITiba 7 Zinazosaidia Kutotapika

LEO nitaongelea tiba ya mtu anayetapika, huenda umekula kitu kibaya kimechafua tumbo, au umekula chakula chenye sumu au ni mama mjamzito anayesumbuliwa na kichefuchefu, tumia

SOMA ZAIDI

Usisahau Ubaharia Kisa Unahodha

HAYA tena Anti Naa mwenye maneno ya shombo nimekuja tena, sina tofauti na mnazi unaojiotea ufukweni ambao wakati wote upo tayari juujuu kuchungulia wale wanaovaa

SOMA ZAIDI


Shoga Jembe Lako, Akulimie Nani?

SHOGA; He he he heeeeiya, acha nicheke miye MC Sophy mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu vinachekesha kama siyo kusikitisha

SOMA ZAIDI
Njia Nne za Kulinogesha Penzi Lako

KUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya. Wengi wamekuwa hawaelewi mambo mengi

SOMA ZAIDI

Asali Haionjwi Kwa Jirani

Anti Nasra Maoni/Ushauri +255 713 133 633 | Risasi Jumatano | Shangingi Mstaafu NIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na

SOMA ZAIDI