×


Makala za Mahaba
DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema mchokoze chizi, haloooo eeeehh! Utajibeba…

SOMA ZAIDIKUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za chumbani zaidi au nako­seaaa! Baada…

SOMA ZAIDINAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku chache zilizopita, nilitembelewa na mmoja…

SOMA ZAIDI

JUISI HAIWEKWI ASALI

PAMBEEE shoga wanakwam­bia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo? Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi…

SOMA ZAIDIDAWA KWA ANAYEUMIA KUKATALIWA !

MAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho. Hapo ndipo unaposikia mtu anakuambia,…

SOMA ZAIDI