×


Makala za Mahaba


No Picture

Penzi la kweli lina historia hakikisha

MUNGU ni mwema sana mpenzi msomaji. Ametukutanisha tena Jumamosi nyingine ili tuweze kupata elimu mpya ya masuala ya uhusiano. Hakuna sababu ya kuwa mbishi. Ukiruhusu…

SOMA ZAIDI

Kumbuka Kubembelezwa Sana Siyo Kupendwa

Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema na neema zake kutukutanisha tena Jumatatu hii katika kilinge chetu hiki cha XXlove kuzungumza yanayotusibu katika uhusiano wetu….

SOMA ZAIDI


Hakuna suluhu nje ya ndoa, huo ni…

Heyaheya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi…

SOMA ZAIDI


No Picture

Mambo yanayofurahisha faragha-2

KWANZA nianze kwa kuwashukuru wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa nchini kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani. Kwa uchaguzi huu nimejifunza kitu kuwa…

SOMA ZAIDI


Mambo yanayofurahisha faragha

ASANTE Mwenyezi Mungu kwa Jumatatu hii murua. Baada ya vuta nikuvute ya uchaguzi mkuu, hatimaye jana Watanzania tumetumia haki yetu ya kimsingi na kikatiba kumchagua…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penzi Lisiloisha  048

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Vazi la Khanga moja heshima ya ndoa

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini uko salama, tayari kwa kupiga kura keshokutwa kuchagua viongizi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo.  Mpenzi msomaji wangu,…

SOMA ZAIDI


Siasa mpaka kitandani…! aibu yenu!

HII inaitwa ‘wiki ya lala salama’ kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo ya Oktoba 25. Naamini kila ulimi wa mtu unazungumzia siasa. Iwe kwa mapenzi…

SOMA ZAIDI


Jamani faragha siyo usiku tu!-2

Mpenzi msomaji, karibu kwenye kilinge chetu hiki kizuri cha XXLove ili tupeane ujuzi na elimu ya uhusiano wa kimapenzi. Baada ya kujifunza muda wa kukutana…

SOMA ZAIDI
Shoga; Ukiwa Mbunifu Mumeo Hatachepuka Nje

Shoga, yangu kadiri siku zinavyo-kwenda ndivyo joto la uchaguzi linazidi kupanda kwani tumebakiza siku… kabla ya kutumia vikatio vyetu kuwakata viongozi wasiofaa na kuwachagua wanaofaa….

SOMA ZAIDI

No Picture

Jamani faragha siyo usiku tu!

Nianze kwa kuwasabahi na kuwashukuru wasomaji wote wa safu hii pendwa ya XXlove kwa kufuatilia na kutoa maoni kuhusu mada ya wiki mbili zilizopita ya…

SOMA ZAIDI


Shoga, nyuki mkali kwa asali yake

Shoga naona leo kicheko mpaka gego la mwisho, najua lazima ucheke kwani ndoa yako ilikuwa imesimamia mguu mmoja leo hii imesimamia miguu miwili, hongera. Inawezekana…

SOMA ZAIDI

Usilie eti umri unakwenda huolewi

NI Jumanne tena, mikikimikiki ya siasa ndiyo habari ya nchi kwa sasa. Pole nyingi kwa familia ya Christopher Mtikila kwa kuondokewa na mwanasiasa huyo maarufu…

SOMA ZAIDI


Heshima ni uwezo wako wa faragha-2

Karibu mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya XXLove tuendelee kupeana ‘maujuzi’ kwenye nyanja nzima ya uhusiano kwa jumla. Wiki iliyopita tulianza mada yetu hii…

SOMA ZAIDI

Utajuaje kama hakutaki?

Kuna ishara nyingi ambazo ni vyema tukajifunza ili kuwa makini na kuchukua hatua pale unapoziona kwa mwanaume. Ni vigumu kukubaliana nazo lakini ukweli siku zote…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-15

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Bajaj iligeuzwa kwa kasi kutokana na hali ya uso wa baba Shua, dereva akajua anawahi sehemu kwa dharura. “Nipeleke kule, kanyaga mafuta…

SOMA ZAIDI

Mambo 12 wasiyopenda wanaume!

Assalam aleikum msomaji wangu, bila shaka unaendelea vema na maisha yako sambamba na maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao zimebaki siku chache ili kumchagua yule…

SOMA ZAIDI


Shoga, wivu ukizidi unakuwa kero!

Mmh! Nakuona mimacho imekutoka na kuangalia kama nitauanika ujinga unaofanya, leo ndiyo hukumu yako. Kumbe unajua matatizo yako kwa nini usiyaache mpaka umsubiri Anti Naa…

SOMA ZAIDI

Kama hamuwezi kuachana bora liserereke

Ni Jumanne tena imefika huku ‘oyaoya’ za kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zimepamba moto kote nchini. Kila mgombea anaomba kura, lakini tusikilize sera zao badala…

SOMA ZAIDI


Heshima ni uwezo wako wa faragha

Mdau wa kona hii, mada ya wiki hii inazungumzia heshima ya mtu kwa mpenzi wake ni uwezo wake wa kumdhibiti mwenza wake wanapokuwa faragha. Kwa…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penzi lisiloisha (Unending Love)-042

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Kwa nini hawara ale cha mkeo?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma…

SOMA ZAIDI

Shoga, uonjwe we pombe ya kienyeji?

Jamani hebu nitumieni basi mvuke salama, hivi muoaji wa kweli humuonja mwanamke ndipo amuoe kweli? Mmh! Simpendi jamani mwanamke kugeuzwa chungu cha mboga kuingiza mkono…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online