×


Makala za Mahaba
MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

HALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi si uende wewe! Heee eheeeiyaaaaa!…

SOMA ZAIDI


MSAADA HAUNA RISITI

Shoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano nikutakie Valentine’s Day njema! Kaa…

SOMA ZAIDI

HIZI NDIZO SIFA ZA MABINGWA WA KUSALITI

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza ku­saliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua…

SOMA ZAIDIYAJUE MAZOEA MABAYA KWENYE UHUSIANO-2

MARAFIKI leo tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, msingi wa ninachokizungumza katika mada hii ni aina ya uhusiano usiofaa. Kuna mambo ambayo kwa hakika hayana…

SOMA ZAIDI

MBUZI HAPEWI NYAMA

HAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu wakati zipu ina meno na…

SOMA ZAIDI

YAJUE MAZOEA MABAYA KWENYE UHUSIANO

KATIKA zama hizi za Sayansi na Teknolojia, uzungu umekuwa mwingi kwenye uhusiano. Kutokana na hilo, wapenzi hudanganyana kwa kuiga tabia za watu wa Magharibi kwa…

SOMA ZAIDI


SADAKA HAIKOPESHWI

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia ukiona maharage yameiva jua mkaa…

SOMA ZAIDI