×


Makala za Mahaba


Shoga, nyuki mkali kwa asali yake

Shoga naona leo kicheko mpaka gego la mwisho, najua lazima ucheke kwani ndoa yako ilikuwa imesimamia mguu mmoja leo hii imesimamia miguu miwili, hongera. Inawezekana…

SOMA ZAIDI

Usilie eti umri unakwenda huolewi

NI Jumanne tena, mikikimikiki ya siasa ndiyo habari ya nchi kwa sasa. Pole nyingi kwa familia ya Christopher Mtikila kwa kuondokewa na mwanasiasa huyo maarufu…

SOMA ZAIDI


Heshima ni uwezo wako wa faragha-2

Karibu mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya XXLove tuendelee kupeana ‘maujuzi’ kwenye nyanja nzima ya uhusiano kwa jumla. Wiki iliyopita tulianza mada yetu hii…

SOMA ZAIDI

Utajuaje kama hakutaki?

Kuna ishara nyingi ambazo ni vyema tukajifunza ili kuwa makini na kuchukua hatua pale unapoziona kwa mwanaume. Ni vigumu kukubaliana nazo lakini ukweli siku zote…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-15

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Bajaj iligeuzwa kwa kasi kutokana na hali ya uso wa baba Shua, dereva akajua anawahi sehemu kwa dharura. “Nipeleke kule, kanyaga mafuta…

SOMA ZAIDI

Mambo 12 wasiyopenda wanaume!

Assalam aleikum msomaji wangu, bila shaka unaendelea vema na maisha yako sambamba na maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao zimebaki siku chache ili kumchagua yule…

SOMA ZAIDI


Shoga, wivu ukizidi unakuwa kero!

Mmh! Nakuona mimacho imekutoka na kuangalia kama nitauanika ujinga unaofanya, leo ndiyo hukumu yako. Kumbe unajua matatizo yako kwa nini usiyaache mpaka umsubiri Anti Naa…

SOMA ZAIDI

Kama hamuwezi kuachana bora liserereke

Ni Jumanne tena imefika huku ‘oyaoya’ za kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zimepamba moto kote nchini. Kila mgombea anaomba kura, lakini tusikilize sera zao badala…

SOMA ZAIDI


Heshima ni uwezo wako wa faragha

Mdau wa kona hii, mada ya wiki hii inazungumzia heshima ya mtu kwa mpenzi wake ni uwezo wake wa kumdhibiti mwenza wake wanapokuwa faragha. Kwa…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penzi lisiloisha (Unending Love)-042

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Kwa nini hawara ale cha mkeo?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma…

SOMA ZAIDI

Shoga, uonjwe we pombe ya kienyeji?

Jamani hebu nitumieni basi mvuke salama, hivi muoaji wa kweli humuonja mwanamke ndipo amuoe kweli? Mmh! Simpendi jamani mwanamke kugeuzwa chungu cha mboga kuingiza mkono…

SOMA ZAIDI

Ukiumiza katika mapenzi

NI Jumanne tena. Jumanne yenye hekaheka ya kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Lakini kwa wasomaji wangu naamini mnajua kutenganisha muda wa kunisoma na…

SOMA ZAIDI

Shoga; ukiwa saluni usitoe siri za mumeo

Shoga yangu, kama ilivyo ada, ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika safu yetu hii kwa ajili ya kuelimishana na kukosoana mambo mbalimbali hususan ya mapeni.Basi…

SOMA ZAIDIChuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-11

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Mh! Au uliwahi kutembea na mke wa mtu ukachezewa?” “Hapana. Sijawahi.” “Mh! Yaani hata dakika tano hufiki? Afadhali ungekuwa unafika…

SOMA ZAIDI