×


Makala za Mahaba
MGOMBA HAUZAI EMBE

PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa ila utachelewa kula, upo nyonyo? …

SOMA ZAIDIMKE ANAWEZA KUCHANGIA MUME AKACHEPUKA

NI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi.   Leo nataka tujadiliane kitu…

SOMA ZAIDI


CHIPS HAZINA UKOKO

UNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo?    Shoga kuna watu hawana tofauti…

SOMA ZAIDI


JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

KWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo mbalimbali yanayosababisha migogoro ya mara…

SOMA ZAIDI

MAHINDI HAYACHOMWI KWA GESI

KAMA nak-uona shoga yangu ulivyobetua macho juu kama unaangalia mkungu wa ndizi mbivu, utashanga sana na mwezi dume ndiyo huo unaelekea katikati! Hee heeeiyaaa wanasemaa…

SOMA ZAIDI

SIFA 10 ZA MUME BORA

  Imekuwa ni vigumu sana kwa walio wengi kufanya chaguo juu ya mwenzi bora wa kudumu naye, hasa kwa upande wa wanawake/waschana kwenye kutoa maamuzi…

SOMA ZAIDIMambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Wanawake

  WENGI wetu kila kukicha tunajitahidi kutafuta mbinu na njia za kuwatambua wenzi watu hasa kwenye upande wa tabia na kufanya chaguo lililo sahihi.  …

SOMA ZAIDI