×


Makala za Mahaba

Si kila uliyenaye mtaoana

JUMATATU nyingine tunakutana katika eneo letu la kupeana darasa la masuala ya mahusiano. Mungu ni mwema ametujalia pumzi, hakika tumshukuru. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali…

SOMA ZAIDI


MBINU ZA WAPENDANAO KUISHI KWA FURAHA

MIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa kuendelea na safari waliyoianzisha kutokana…

SOMA ZAIDIMCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya mjanja wa mjini wakati simu…

SOMA ZAIDIKUNA FAIDA WAPENDANAO KUKWARUZANA

MUNGU ni mwema tena Jumamosi ya leo ametupa pumzi. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali, msikate tamaa, Mungu atawatia nguvu mtarejea kwenye hali nzuri na maisha…

SOMA ZAIDI


HATA KAMA HUMWAMINI, MPE UHURU WAKE

NI Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe msomaji wangu mwenye tabia ya…

SOMA ZAIDI


SHUKA LA KUAZIMA HALISTIRI BARIDI

PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora!    Shoga mjini wanakwambia usidharau…

SOMA ZAIDITAA YA GARI HAIFUNGWI CHUMBANI

PAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua kwenye maisha wewe utapiga hatua…

SOMA ZAIDI