×


Michezo


Ajibu amtumia ujumbe kocha Stars

IKIWA zimebaki siku tisa kabla Taifa Stars haijacheza na Uganda kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa Afrika kiungo wa Yanga, Ibrahim…

SOMA ZAIDI


Yanga Yaweka Rekodi Mpya

YANGA imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuvunja rekodi yake ya mabao 44, ambayo walifunga msimu uliopita Msimu uliopita Yanga…

SOMA ZAIDIZahera ambadilishia majukumu Tshishimbi

KATIKA kukiimarisha kikosi chake, Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amembadilishia majukumu kiungo wake Papy Tshishimbi. Kiungo huyo alirejea hivi karibuni akitokea kwenye majeraha…

SOMA ZAIDI


Kagere wa Bil 1 Atikisa Afrika

KUNA uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere akaibuka mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ambao Simba imegoma kumuuza kwa Sh.Bilioni moja…

SOMA ZAIDI

HATIMAYE ZIDANE AREJEA REAL MADRID

KLABU ya Real Madrid imemtangaza Zinedine Zidane kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo ikiwa ni miezi 10 tu tangu Mfaransa huyo alipobwaga manyanga kuitumikia miamba…

SOMA ZAIDI

Simba: Tunaandika historia Taifa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ameweka kando kipigo walichokipata mbele ya JS Saoura kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kutamka kwamba wataweka historia…

SOMA ZAIDITFF YAMFUNGIA NINJA WA YANGA – VIDEO

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesikiliza shauri la mchezaji wa Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye alilalamikiwa kwenye kamati hiyo kwa kumpiga…

SOMA ZAIDI


Real yamtaka Zidane au Mourinho

UONGOZI wa Real Madrid unataka kurudisha mmoja wa makocha wao wa zamani lakini wakitega karata yao kwa Zinedine Zidane au Jose Mourinho.   Hata hivyo,…

SOMA ZAIDI