×


Mikasa


Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-19

ILIPOISHIA IJUMAA ‘KUBWA’: Mama Shua alibaki ameduwaaa asijue la kufanya kwani majibu ya mama yake yalimpa picha kamili ambayo hakuwahi kuiona hata siku moja. JIACHIE…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-10

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipoiweka soda yake ya kopo juu ya dirisha bila kujua kama Doreen ambaye wakati huo alikuwa hajiwezi…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA IJUMAA: Jambo ambalo sikulitarajia ni taarifa niliyoipata nikiwa bungeni kuwa rais alinitangaza kuwa mmoja wa mawaziri wake katika baraza lake la mawaziri aliloliunda mara…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-17

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Ni sawa ndiyo, wala hakuna shida. Mi nisichotaka ni kuongozana tu,” alisema Magembe. “Basi anza kutoka wewe,” Magembe alimtaka mama Monica atangulie…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 44

ILIPOISHIA… “Mama unasema kweli?” “Nimemsikia kwa masikio yangu akiwaeleza waje, kumbe aliwaeleza watakuwa wapo wawili na wakimshika mpenzi wako watamtesa ili amtaje mwenzake.” “Mama sikubali,…

SOMA ZAIDIWaziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA WIKIENDA: Siku ile nilikunywa chai saa tano tena kwa kuhimizwa na mke wangu aliyekuwa Dar ambaye nilikuwa nikiwasiliana naye wakati wote. Kama si yeye…

SOMA ZAIDI

Nisamehe Latifa-48

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Hapo ndipo mzee Deo alipoanza kusimulia kila kitu kilichotokea katika maisha yake, tangu siku alipokutana na Nahra na mpaka alipompa mimba na…

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi-52

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka kwani ndani ya kipindi kifupi…

SOMA ZAIDI

Waoo…! kama jana vile!-16

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nikwambie kitu baby?” alisema mama Monica huku akicheza kabumbu… “Niambie mpenzi wangu.” “Yaani leo nina furaha, hata kama nitakwenda kugombezwa na mume…

SOMA ZAIDI

Chongo-7

Ilipoishia wiki iliyopita Noel na Mzee Masta wakaanza kusogea taratibu, wakaona kama mtu aliyefunikwa shuka, wakasogelea na kubaini kuwa alikuwa ni mtu, lakini kijana mdogo….

SOMA ZAIDIBayo Na Imbori – 21

Zoezi la kumuua Imbori kwa kutumia sumu ya Arsenic Trioxide iliyochanganywa kwenye chakula linagonga mwamba, Josephine anapanga mpamgo mwingine, baada ya kudokezwa na Madam Catherine…

SOMA ZAIDI


No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 33

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Tukasimama.  “Tusiendelee kwenda, tutakosa hewa kabisa,” nikawaambia wenzangu.  “Mimi pia naona hivyo, tunaweza kufa.” Yule aliyekuwa akimkumbuka mchumba wake akasema.  “Basi turudini…

SOMA ZAIDI

Mapazia Ya Chumbani -9

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mzee Mashali akiwa katika kuwaza na kuwazua bila kujua atatoka na viatu gani mule ndani, ghafla jicho lake likatazamana na sendozi za…

SOMA ZAIDI

Jini Mauti-8

Siku hiyo mama alikuwa na mawazo mno, hakuamini kama tayari alikuwa amefika jijini Dar, sehemu aliyoipenda mno. Usiku ulipoingia, mama hakutaka kulala, aliogopa sana kwa…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-8

 Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alijiandaa kumchinjia baharini mtoto mzuri Doreen ambaye alikuwa amelainika kupita maelezo na muda huo kuhitaji kitu kimoja tu…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-12

ILIPOISHIA IJUMAA: Tulikuwa tunakwenda kwenye kila kata ambako wanachama walikuwa wanatusubiri. Kila mgombea alikuwa anasimama na kuwaeleza wananchama kwa nini anataka ateuliwe yeye na asiwe…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-18

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Baba Shua alipokosa meseji yoyote yenye kutia shaka, aliizima, akairudisha simu kwenye chaja kisha akatoka sebuleni. Alikaa akisikiliza maji yanavyomwagika bafuni…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-15

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Sasa hapa si anaagwa tu, hata kama alikufa kwa ngoma ni vilevile, anaagwa.” “Kwa hiyo mama Monica unaamini mimi nina ngoma na…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 43

ILIPOISHIA… Ambe aliwaeleza angefika pale saa mbili usiku baada ya kukatazwa na Mabina kwa kuamini hata kama kuna kitu kitakwenda tofauti wangeweza kukabiliana nacho hata…

SOMA ZAIDI

Ndugu Zangu Walinichukua Msukule-2

MSIMULIAJI: Obedi Masanja Ilipoishia wiki Iliyopita: BABA ATAKA KUMPA SAPOTI, AKATAA Baba yangu alikuwa na eneo kubwa la mashamba aliponiona nina kiu ya kusoma akataka…

SOMA ZAIDI

No Picture

Siri ya mgawo wa umeme hii hapa

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba. Wakati watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wakilishutumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutokana na hali mbaya ya kukatika ovyo…

SOMA ZAIDI

We baba fanueliii!!!-17

ILIPOISHIA “Hapa safi, kama kazi imefanyika, hukuniangusha mzee mwenzangu,” alisema baba Fanueli. “Usijali! Kwa hiyo inakuwaje?” “Ndiyo nafikiria nini cha kufanya, kwanza ngoja, nitamfuata mimi…

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi 51

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka kwani ndani ya kipindi kifupi…

SOMA ZAIDIChongo!-5

Ilipoishia wiki iliyopita Hofu ya Bata ikapungua. Alikuwa anamfahamu shemeji yake, mpenzi wa dada yake Ame. Wakati anajiandaa kumsalimia, kitu kisicho cha kawaida kwake kikatokea!…

SOMA ZAIDI

Waoo..! kama jana vile!-14

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Baadhi ya wateja walisikia mazungumzo ya mama Monica na Magembe, wakashangaa kugundua kuwa, kumbe mwanamke huyo jamaa yake wa mchepuko ni huyo….

SOMA ZAIDIMapazia Ya Chumbani -8

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mama Kirumba akavuta pumzi kwa nguvu kisha akazitoa na kumwangukia mzee Mashali huku akisema… “Tumeshaamua kumla nguruwe, basi tumle aliyenona tu.” ENDELEA…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-8

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipomshukuru Doreen kwa ukarimu wake huku moyoni akipania kumtongoza dada huyo mrembo kwa sababu hakuwa na sera za…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-10

ILIPOISHIA IJUMAA: “Mzee Mgorosi akaguna. Alionesha waziwazi kufadhaika. Kwa shingo upande akaniambia: “Sawa bwana mdogo, nitawaambia wenzangu maneno yako.” Nilikuwa sina mpango wa kuondoka alfajiri….

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online