×


Mikasa
JOKA LA JABU LATIKISA DAR

DAR ES SALAAM: Patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia joka linalodaiwa kuwa la ajabu kuonekana mara kwa mara na kuzua taharuki maeneo ya Kinondoni-…

SOMA ZAIDIMAMA AMFANYIA UNYAMA MWANAWE!

KUWEKA nia ya kuchemsha maji ya moto kwa kiwango cha nyuzi joto 100 ili uyatumie kumwagia mtoto wako unayemtuhumu kuiba chupa mbili tupu za soda…

SOMA ZAIDI
MADAM RITA AMLILIA CASSIAN

JAJI Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen ‘Madam ‘Rita’ amesema kuwa amesikitishwa na ugonjwa wa aliyekuwa Mshindi wa BSS 2009, Pascal Cassian…

SOMA ZAIDI

MAMA ATEKWA NA NOAH NYEUSI

DAR ES SALAAM: SIMULIZI ya Fatma Manyinja (49), mkazi wa Mbagala – Chemchem, jijini Dar es Salaam, ambayo inaeleza namna alivyotekwa usiku na watu asiowafahamu…

SOMA ZAIDI

MATESO MTOTO HUYU USIPIME

IMEANDIKWA kwamba, kuna wakati wa kucheka na wakati wa kulia, wakati wa furaha na wakati wa huzuni; alipozaliwa lssaya Merikion mwenye umri wa mwaka mmoja…

SOMA ZAIDI

‘PAKA MTU’ AZUA TAHARUKI

GEITA: Sintofahamu na taharuki imewakumba wakazi wa Kitongoji cha Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita kufuatia mnyama anayetajwa kama paka mtu kuleta mauzauza; Amani limedokezwa.   …

SOMA ZAIDI
MADAI MAZITO MUME AMUUA MKE WAKE BAA

MACHOZI! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Dulla, Mkazi wa Tabata-Matumbi jijini Dar, anadaiwa kumuua mkewe, Aisha Abdallah (34), naye mkazi wa Tabata-Matumbi.  Dulla alisemekana…

SOMA ZAIDIUNDANI BABU ALIYEDAIWA KUBAKA KATOTO

DAR ES SALAAM: Mkazi wa Mburahati Motomoto jijini Dar, Mohammed Hassan ‘Babu Komeni’ anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65, anashikiliwa katika Kituo cha Polisi…

SOMA ZAIDI


MAMA WA AMBER RUTTY AVAMIWA AUAWA !

DAR ES SALAAM: Majanga juu ya majanga! Ndivyo unavyoweza kusema, wakati msanii wa Bongo Fleva, Nascat Abubakary ‘Amber Rutty’ akiwa kwenye msala wa kujirekodi na…

SOMA ZAIDI


Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI