×


Mikasa

Waoo..! kama jana vile!-12

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nitamwambia nini? Nikisema ni vitu vyangu nilihongwa na buzi langu ataniona mimi kumbe mchepukaji. Mbaya zaidi yeye ni mama mtu mzima na…

SOMA ZAIDI


No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 31

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Nisamehe..nisamehe   sitarudi tena humu.”  Mimi niliyekuwa nikitazama tukio hilo, nguvu zilikuwa zimeniishia na nilikuwa natetemeka.  “Nikusamehe kwa kosa gani?” Kaikush akamuuliza yule…

SOMA ZAIDI

Mapazia Ya Chumbani -7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hebu ngoja niende nikajifanye nina shida ya kuazima chochote ili nizione hizo sendozi, kama kweli ni za baba Dick nitazijua tu maana…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-14

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Musa vipi? We unajua namba yako sina, kwa nini usinitafute wakati we unayo? Kwani ule ujumbe wangu asubuhi kupitia kwa mtoto…

SOMA ZAIDI

Waziri alipokiri kuwa mchawi-8

ILIPOISHIA IJUMAA: Siku moja kabla sijarudi Dar kuendelea na masomo yangu ya chuo kikuu, wazee hao pamoja na babu waliniweka kikao usiku. SASA ENDELEA… Wazee…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-7

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mtoto mkali Doreen alipombembeleza Nelly kwa sauti nyororo kwamba aliogopa nini kuingia ndani na kumsihi aingie kwani hakukuwa na…

SOMA ZAIDI


Waoo…! Kama Jana Vile!-11

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Baba Monica alikuja juu, alianza kuhisi kuchanganyikiwa. Alitambua kuna jambo baya kalifanya mkewe na mwanaume huyo… “Hebu kaa hapa kwanza,” alisema baba…

SOMA ZAIDI


Waziri Aliyekuwa Mchawi-7

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kunywa upate nguvu,” akaniambia.  Nikapiga funda moja. Ilikuwa dawa chungu kama shubiri.  “Meza unywe tena.”  Nikajikaza na kuimeza kisha nikapiga funda lingine. Nikalimeza…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-13

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Siku za baba Shua kukaa Arusha zilibaki mbili, lakini akarudi nyumbani kwake Dar bila kuzimaliza. Alifika saa kumi na mbili…

SOMA ZAIDI

Familia ya Kichawi -26

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kama mchawi alitakiwa kumtoa mmoja wa watu wake wa karibu kwa ajili ya kuliwa nyama halafu akawa hana, akasema anakopa, yaani ale…

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi-43

Alijijengea heshima kubwa nchini Tanzania kutokana na utendaji kazi wake mkubwa aliokuwa akiufanya katika jeshi la polisi. Kutokana na umahiri wake, akapandishwa vyeo na mwisho…

SOMA ZAIDI

Maajabu Ndani ya Basi la Dar-Arusha-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilinyamaza kimya bila kumjibu, nikalala usingizi wa moja kwa moja, nilipokuja kushtuka tulikuwa tunaingia Moshi mjini. Nikamwangalia Rehema, hakuwepo, alikuwa yule mzee….

SOMA ZAIDI

We baba fanueliii!!!-15

ILIPOISHIA Alichokifanya ni kumsogelea, alipomfikia tu, kwanza akambipu kwa kuupeleka mkono kiunoni mwa mwanamke huyo, mkono huo ukapokelewa kwa tabasamu pana. Akaona yes, mambo yamejipa….

SOMA ZAIDI

Waoo..! kama jana vile!-10

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Hamna, si nimekwambia nilishasalimu amri we mwenyewe ndiyo umeng’ang’ania, sasa mimi  nifanyeje mama Monica. Au tuache?” aliuliza Magembe… “Noo noo! Mi nimeshachaji…

SOMA ZAIDI

Nilimpa kilema mtoto wa tajiri!-2

Ilipoishia wiki iliyopita “Baada ya kutua mizigo, moja kwa moja mama alianza kumsimulia baba juu ya yule mwanamke. Kama kuna siku niliwahi kuwa na furaha,…

SOMA ZAIDI


Chongo!-4

Ilipoishia wiki iliyopita Alipoomba ufafanuzi zaidi, akaambiwa atoe maoni yake kama anadhani yeye mwenyewe anaweza kusimamia mali za marehemu baba yake, au ateuliwe mtu wa…

SOMA ZAIDI


No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 30

ILIPOISHIA “Wenzetu watatu wameshakufa” nikamwambia.  “Ninaamini kuwa nyinyi mtapona. Safari hii mkiondoka mhakikishe kuwa mnatoka ndani ya pango hili.”  “Tatizo ni hizi njia, zinatutatiza sana.”…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-6

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale kama ambavyo Zakayo na Haruni walivyokuwa hawaamini sharobaro Nelly angeweza kufanya kazi ya ujenzi, Doreen aliyeshangazwa na jambo hilo…

SOMA ZAIDI

Waziri aliyekuwa Mchawi-6

ILIPOISHIA IJUMAA: Alipomaliza alitia mate kwenye viganja vyake akavisugua tena kisha akanipaka mimi usoni. Kwa vile babu alikuwa anakula ugoro, uso wangu ukawa unanuka ugoro….

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-12

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Unajua wewe unakosea kitu kimoja,” alisema mwanamke huyo lakini mara simu ya mume wake ikaita, akaomba kuipokea… “Pokea baby,” alisema Musa……

SOMA ZAIDI

No Picture

Waoo…! Kama Jana Vile!-9

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Dakika moja baada ya wale wamachinga kuondoka, mama Monica akamuegemea begani Magembe na kumwambia… SHUKA NAYO MWENYEWE… “Uko bize sana?” “Wala, vipi…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 40

ILIPOISHIA: “Jinsi ya kuishi si tatizo, la muhimu ni nyinyi kutubariki, ni kweli mmemfanyia kitu kibaya hasa baba kwa kweli kitendo ulichokitenda ni kibaya sana…

SOMA ZAIDI


Familia ya Kichawi -25

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Lakini akiwa amesimama hajafanya lolote, tukasikia mlango mkubwa ukifunguliwa. Tukakimbia na kwenda kusimama mbali kidogo, tukaangalia atakayetoka. SASA ENDELEA MWENYEWE… Ghafla, alitoka…

SOMA ZAIDI

Nisamehe Latifa-44

Waliendelea kuzungumza ndani ya gari, Dominick ambaye naye alipewa heshima kubwa alikuwa ndani ya gari hilo, hakuzungumza chochote kile, alibaki kimya huku masikio yake yakiwa…

SOMA ZAIDI

Maajabu Ndani ya Basi la Dar-Arusha-5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Meseji nilituma mimi au ulitumiwa na nani? Sijakuelewa mume wangu, maajabu gani kwani umekutana nayo au nikupigie uniambie vizuri?” aliniuliza mke wangu….

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi 48

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka kwani ndani ya kipindi kifupi…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online