×


Mikasa

Waoo..! kama jana vile!-22

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Mama Monica na Magembe walizama kwenye mechi, mama Monica kama kawaida yake alianza mbwembwe za mahaba kiasi cha kelele zake kufika nje…

SOMA ZAIDI


Mapazia ya chumbani-11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Muda gani?” “Muda mfupi kabla hujaja na tena nilikutumia mbili.” “Zilikuwa zinasemaje?” Mama Kirumba alichukuwa simu yake kisha akamuonesha mzee Mashali meseji…

SOMA ZAIDI

No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni-34

ILIPOISHIA “Kwani wewe hunikumbuki mimi, si ndiye niliyewaingiza ndani ya pango hili hadi pale mlipochangukana?” Nilipomtazama vizuri, nikakumbuka. Alikuwa ndiye yeye aliyetuingiza ndani ya pango…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-11

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipomnong’oneza fundi Yassin ahamie siti ya dirishani, alifanya hivyo kwani alijua nini shalobaro huyo alikuwa anataka kukifanya….Je, kiliendelea…

SOMA ZAIDI

Jini Mauti-10

ILIPOISHIA “Nasikia paka wananiita.” “Paka?” “Ndiyo mama.” “Wapo wapi?” “Huwasikii hao wanalia?” “Hapana!” “Mama! Nawasikia paka wakilia,” nilimwambia mama. ENDELEA Mama akasimama na kuelekea katika…

SOMA ZAIDI

Chuzi ndo hilo, hakuna kuonja!-22

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Sasa unadhani itakuwaje na mtu kasimama mlangoni!” Pale nje, baba Shua aliwaza kuwagongea mlango wawili hao ili ijulikane moja. JIACHIE SASA……

SOMA ZAIDI

No Picture

Waoo…! Kama Jana Vile!-18

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Waliangaliana kwanza japokuwa kulikuwa na giza zito, mama Monica akacheka kidogo kwa sauti, Magembe akaachia tabasamu. Lakini mara mlango ukagongwa kwa ustaarabu…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 46

ILIPOISHIA… “Mwanao mbishi, kama ataendelea na ubishi huu ataozea gerezani.” “He! Kwa kosa gani?” “Kwa lililotokea chanzo ni yeye.” “Baba huyo mwanangu na mambo hayo…

SOMA ZAIDI

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa 29

Mtima, mtoto wa Abikanile, msichana aliyeteseka sana siku za uhai wake, kisa kikiwa ulemavu wa ngozi anafanikiwa kuufahamu ukweli juu ya asili yake ambao alifichwa…

SOMA ZAIDIJini Mweusi 54

  Alijijengea heshima kubwa nchini Tanzania kutokana na utendaji kazi wake mkubwa aliokuwa akiufanya katika jeshi la polisi nchini Tanzania. Kutokana na umahiri wake, akajikuta…

SOMA ZAIDI

Ndugu Zangu Walinichukua Msukule-5

MSIMULIAJI: Obedi Masanja ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Waliposikia sauti yangu walikuwa wakipiga mayowe huku wakikimbia na kusema walinisikia kisha nikatoweka kimiujiza. Kuna siku nikiwa nakwenda nyumbani,…

SOMA ZAIDI

We baba fanueliii!!!-20

ILIPOISHIA Wala hawakuchukua muda mrefu, wakafika nyumbani kwa mama Zubeda, alichokifanya ni kuingia ndani bila kubisha hodi, alipofika sebuleni, akamkuta baba Zubeda akiwa kajaa tele….

SOMA ZAIDIMapazia ya chumbani -11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mzee Mashali alifikiria kwa mara nyingine, akavaa nguo zake kisha na kulichukuwa fuko lake la mapazia. “Nikirudi jioni nitakupa jibu,” alimjibu mkewe…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-10

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale fundi Yassin alipokuwa akiagana na Zakayo na kumsisitiza sana kuwahi kufika kazini siku iliyofuata ambapo kijana huyo alimwambia angefanya…

SOMA ZAIDI

Chuzi ndo hilo, hakuna kuonja!-20

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Hivi baba Shua mimi naumwa hata kuniuliza hutaki? Hayo ni mapenzi gani lakini? Ina maana wewe uumwe mimi nikae kimya nakuangalia…

SOMA ZAIDI

Waziri alipokiri kuwa mchawi-14

ILIPOISHIA IJUMAA: Siku ile tulishinda ofisini hadi saa kumi na moja jioni ambapo hotuba ya bajeti yangu ilikuwa imeshachapwa. Niliporudi nyumbani niliondoka nayo ikiwa kwenye…

SOMA ZAIDI


Waoo…! Kama Jana Vile!-17

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Mh! Atakuwa nani? Ni mama Monica au kaka yake, Daudi? Maana sina namba ya Daudi lakini kama ni mama Monica kwa nini…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 45

ILIPOISHIA… “Hapana lazima akaisaidie polisi, lazima tumjue huyu jamaa ni mtu wa aina gani hawezi kutoroka pamoja na kuua vijana wetu.”   Kabla ya kuondoka ulifanyika…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online