×


Mikasa

Joto la Mapenzi – 45

ILIPOISHIA… “Hapana lazima akaisaidie polisi, lazima tumjue huyu jamaa ni mtu wa aina gani hawezi kutoroka pamoja na kuua vijana wetu.”   Kabla ya kuondoka ulifanyika…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-21

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Natoka kazini napitia kwa rafiki yangu Rukia… kuna ishu ya kuzungumza naye…” Hakujibiwa meseji hiyo lakini yeye hakujali, akamgeukia Musa……

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA WIKIENDA  Baada ya kukamilisha ada ya mkoba huo nilianza kuvirudisha vile vitu ndani ya mkoba. Kuvirudisha vile vitu pia kulikuwa na namna yake.  Unatakiwa…

SOMA ZAIDI


Waoo..! kama jana vile!-18

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Ilikuwa bahati mbaya sana kwani wakati Magembe anatoka kwa kujichungachunga, kaka wa mama Monica naye akawa anatoka sijui kwa ajili ya kwenda…

SOMA ZAIDI

Chongo!-7

Ilipoishia wiki iliyopita “Hebu piga simu mapokezi, walete machela haraka, kuna uhai kwa mbali kwa huyu kijana, huenda Mungu bado hajaamua,” alisema daktari huyo huku…

SOMA ZAIDI


Mapazia ya chumbani -10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na ana bahati tu nilimpa kidogo, je tungekesha?” Mzuka ulikuwa umempanda. Akili ikamtuma moja kwa moja kuchukua simu yake na kuanza kumchokoza…

SOMA ZAIDIChuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-19

ILIPOISHIA IJUMAA ‘KUBWA’: Mama Shua alibaki ameduwaaa asijue la kufanya kwani majibu ya mama yake yalimpa picha kamili ambayo hakuwahi kuiona hata siku moja. JIACHIE…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-10

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipoiweka soda yake ya kopo juu ya dirisha bila kujua kama Doreen ambaye wakati huo alikuwa hajiwezi…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA IJUMAA: Jambo ambalo sikulitarajia ni taarifa niliyoipata nikiwa bungeni kuwa rais alinitangaza kuwa mmoja wa mawaziri wake katika baraza lake la mawaziri aliloliunda mara…

SOMA ZAIDI

Waoo…! Kama Jana Vile!-17

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Ni sawa ndiyo, wala hakuna shida. Mi nisichotaka ni kuongozana tu,” alisema Magembe. “Basi anza kutoka wewe,” Magembe alimtaka mama Monica atangulie…

SOMA ZAIDI

Joto la Mapenzi – 44

ILIPOISHIA… “Mama unasema kweli?” “Nimemsikia kwa masikio yangu akiwaeleza waje, kumbe aliwaeleza watakuwa wapo wawili na wakimshika mpenzi wako watamtesa ili amtaje mwenzake.” “Mama sikubali,…

SOMA ZAIDIWaziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA WIKIENDA: Siku ile nilikunywa chai saa tano tena kwa kuhimizwa na mke wangu aliyekuwa Dar ambaye nilikuwa nikiwasiliana naye wakati wote. Kama si yeye…

SOMA ZAIDI

Nisamehe Latifa-48

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Hapo ndipo mzee Deo alipoanza kusimulia kila kitu kilichotokea katika maisha yake, tangu siku alipokutana na Nahra na mpaka alipompa mimba na…

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi-52

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka kwani ndani ya kipindi kifupi…

SOMA ZAIDI

Waoo…! kama jana vile!-16

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nikwambie kitu baby?” alisema mama Monica huku akicheza kabumbu… “Niambie mpenzi wangu.” “Yaani leo nina furaha, hata kama nitakwenda kugombezwa na mume…

SOMA ZAIDI

Chongo-7

Ilipoishia wiki iliyopita Noel na Mzee Masta wakaanza kusogea taratibu, wakaona kama mtu aliyefunikwa shuka, wakasogelea na kubaini kuwa alikuwa ni mtu, lakini kijana mdogo….

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online