×


Mikasa

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-10

ILIPOISHIA IJUMAA: “Mzee Mgorosi akaguna. Alionesha waziwazi kufadhaika. Kwa shingo upande akaniambia: “Sawa bwana mdogo, nitawaambia wenzangu maneno yako.” Nilikuwa sina mpango wa kuondoka alfajiri….

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-16

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Tangulia na mimi natoka hapa nakwenda chukua gari kisha hotelini, hapa nilipo mawazo yangu yote nipo na wewe kitandani.” ENDELEA NAYO…

SOMA ZAIDI


Waoo…! Kama Jana Vile!-13

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “We Nina,” mama Monica alimuita msichana wake mmoja… “Abee…” “Hivi yule kaka aliyekuwa anakuja na pikipiki unamjua?” aliuliza mama Monica… “Hapana dada,…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-9

ILIPOISHIA WIKIENDA Usiku wa siku ile nilienda na babu kule kiwanjani. Wale wazee wachawi waliponiona walifurahi kwani nilikuwa nimejifunga kaniki mpya. Wakaona pamoja na usomi…

SOMA ZAIDI

No Picture

Nisamehe Latifa-45

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Latifa akaanza kusimulia historia ya maisha yake tangu alipofukuzwa mama yake ambayo alisimuliwa na mzee Issa, alisimulia kila kitu, baada ya kutimuliwa…

SOMA ZAIDI

We baba fanueliii!!!-16

ILIPOISHIA Mama Zubeda hakugundua kitu, simu haikutoa sauti, alipomaliza, akaificha na kumwambia amkalie kwa juu, tena huku akifumba macho kimahaba, mwanamke huyo pasipo kujua chochote,…

SOMA ZAIDI


Jini Mweusi 50

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka kwani ndani ya kipindi kifupi…

SOMA ZAIDI

Maajabu Ndani ya Basi la Dar-Arusha-7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nikaanza kuondoka kwa kasi huku mapigo ya moyo yakinienda mbio. Niliogopa. Ilibidi nitafute teksi ili inipeleke mjini, ghafla lile basi likanipita, abiria…

SOMA ZAIDI

Nilimpa kilema mtoto wa tajiri!-3

Ilipoishia wiki iliyopita “Walinihimiza sana kutofanya mchezo na kibarua changu, walinitaka kuwa mvumilivu na mwenye nidhamu. Kila nilipowaambia kuhusu manyanyaso niliyoanza kufanyiwa, waliniambia ni mambo…

SOMA ZAIDI

Chongo!-4

Ilipoishia wiki iliyopita “Ame, kuna jambo moja muhimu nataka kukuambia, kukubali au kukataa kwako kutakuwa na maana mbili, kuharibu au kuboresha uhusiano wetu,” alisema huku…

SOMA ZAIDI


Waoo..! kama jana vile!-12

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nitamwambia nini? Nikisema ni vitu vyangu nilihongwa na buzi langu ataniona mimi kumbe mchepukaji. Mbaya zaidi yeye ni mama mtu mzima na…

SOMA ZAIDI


No Picture

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 31

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Nisamehe..nisamehe   sitarudi tena humu.”  Mimi niliyekuwa nikitazama tukio hilo, nguvu zilikuwa zimeniishia na nilikuwa natetemeka.  “Nikusamehe kwa kosa gani?” Kaikush akamuuliza yule…

SOMA ZAIDI

Mapazia Ya Chumbani -7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hebu ngoja niende nikajifanye nina shida ya kuazima chochote ili nizione hizo sendozi, kama kweli ni za baba Dick nitazijua tu maana…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-14

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Musa vipi? We unajua namba yako sina, kwa nini usinitafute wakati we unayo? Kwani ule ujumbe wangu asubuhi kupitia kwa mtoto…

SOMA ZAIDI

Waziri alipokiri kuwa mchawi-8

ILIPOISHIA IJUMAA: Siku moja kabla sijarudi Dar kuendelea na masomo yangu ya chuo kikuu, wazee hao pamoja na babu waliniweka kikao usiku. SASA ENDELEA… Wazee…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-7

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mtoto mkali Doreen alipombembeleza Nelly kwa sauti nyororo kwamba aliogopa nini kuingia ndani na kumsihi aingie kwani hakukuwa na…

SOMA ZAIDI


Waoo…! Kama Jana Vile!-11

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Baba Monica alikuja juu, alianza kuhisi kuchanganyikiwa. Alitambua kuna jambo baya kalifanya mkewe na mwanaume huyo… “Hebu kaa hapa kwanza,” alisema baba…

SOMA ZAIDI


Waziri Aliyekuwa Mchawi-7

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kunywa upate nguvu,” akaniambia.  Nikapiga funda moja. Ilikuwa dawa chungu kama shubiri.  “Meza unywe tena.”  Nikajikaza na kuimeza kisha nikapiga funda lingine. Nikalimeza…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online