×


RisasiDogo Janja Alivyozua Taharuki Fiesta!

HATA ungekuwa wewe, ukimuona mtu unayemfahamu, mara paaap kazungukwa na polisi wenye silaha lazima taharuki ikushike; ndivyo ilivyokuwa kwa msanii Abdulraaziz Chende, a.k.a Dogo Janja…

SOMA ZAIDI
Mhe. Temba Afungukia Kilichompoteza!

  Mwana mpotevu kwenye Bongo Fleva, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ amefunguka sababu zilizomfanya kupotea kwenye gemu kwa kipindi cha miaka miwili sasa.   Akipiga stori…

SOMA ZAIDI

Bela Adai Uzazi Haujamuachisha Muziki

Mwanamuziki wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ baada ya kimya kingi ameibuka na kudai kuwa uzazi haujamuachisha muziki bali ameshajipanga na mwaka mpya…

SOMA ZAIDI

Lulu Diva Afungukia Kufulia

  BAADA ya kudaiwa kwamba kwa sasa amefulia ndiyo maana hata mbwembwe zake hazisikiki tena mjini, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka…

SOMA ZAIDI

Ester Kiama Aogopa Wanga

  WAKATI mwaka 2018 ukielekea ukingoni, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ester Kiama ameogopa kutaja malengo yake ya mwaka ujao wa 2019 kwa kuhofia wanga…

SOMA ZAIDI

Kim Nana Sina Bifu Na Lynn

  LICHA ya wote kudaiwa kuonja penzi la staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na kusemekana kuwa wana bifu kali, muuza sura kwenye video…

SOMA ZAIDI


KAPO ZA MASTAA BONGO ZILIZOBAMBA 2018

WAKATI mwaka wa 2018 ukikaribia kufika ukingoni, kwenye ulimwengu wa mastaa yapo mambo mbalimbali yaliyotokea tangu ulipoanza yakiwemo mazuri na mengine mabaya.  Katika makala hii tunakuletea…

SOMA ZAIDI

DUDU BAYA AMSHUSHIA KIPIGO GIGY MWANZA

LICHA ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ au Konki Konki Konki Master’ (pichani) kunaswa akiwa amelainika kwa msanii, Gift Stanford…

SOMA ZAIDI

FLORA ATIA NENO H-BABA KUMMISS UWOYA

BAADA ya hivi karibuni msanii wa muziki Bongo, Hamis Baba ‘H-Baba’ kuonyesha kuwa kammiss sana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Irene Uwoya, mzazi mwenzake na msanii…

SOMA ZAIDI


NDOA YA CHAZ YAPIGWA ZENGWE

UMBEYA ni suna na pia unaongeza vitamini mwilini! Siku moja baada ya kufungwa, ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa Dansi Bongo, Charles Gabriel ‘Chaz…

SOMA ZAIDI

WASTARA NATAMANI KUJIUAAN!

BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru na kumuomba Mungu azidi kutulinda…

SOMA ZAIDI


NISAIDIENI NIKATWE MGUU

DAR ES SALAAM: NI mtihani mzito! Peter Stewart (31), mkazi wa Ubungo – Maziwa, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye mateso makubwa kutokana na kidonda…

SOMA ZAIDI

Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI