×


Risasi


TANASHA WA DIAMOND ALIAMSHA DUDE!

MAMBO ni moto! Baada ya hivi karibuni mrembo kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kuahidiwa ndoa na staa wa Afro Pop, Nasibu…

SOMA ZAIDI

KUAZIMWA NGUO NA LINAH, NAI ATOA POVU

BAADA ya kunangwa kwamba ameazima nguo kwa mwanamuziki, Esterlina Sanga ‘Linah’, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki Bongo, Nai Kisa ametoa povu…

SOMA ZAIDI


DIDA: HABARI ZA NDOA TUPA KULE

LICHA ya kusifika kwa kuwa na bahati ya kuolewa mara nyingi, mtangazaji maarufu wa Redio Times, Khadija Shahibu ‘Dida’ amefunguka kuwa hataki kusikia kitu kinachoitwa…

SOMA ZAIDI

KONKI MASTER ALAINIKA KWA GIGY MONEY

AMA kweli hakuna mkate mgumu mbele ya kikombe cha chai ya rangi! Ndivyo ilivyo kwa mahaba kwani ukipatikana ni lazima ulainike kama Delila alivyomlainisha Samson…

SOMA ZAIDI

ROSE MUHANDO AIANGUKIA SERIKALI

BADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze kurudishwa nchini.     Akizungumza na…

SOMA ZAIDI

JOKA LA JABU LATIKISA DAR

DAR ES SALAAM: Patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia joka linalodaiwa kuwa la ajabu kuonekana mara kwa mara na kuzua taharuki maeneo ya Kinondoni-…

SOMA ZAIDI

STEVE NYERERE FUNGA ZIPU

‘STEVE Nyerere funga zipu kaka unaaibika’! Ndivyo walivyosikika baadhi ya mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva waliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa…

SOMA ZAIDI

TUNDA AJIPANGA KURUDI SHULE

MREMBO aliyejipatia umaarufu kupitia video za wasanii mbalimbali pamoja na matukio kwenye mitandao ya kijamii, Anna Kimario ‘Tunda’ ameeleza kuwa, anajipanga kurudi shule ili kujiongezea…

SOMA ZAIDI

DIANA AJIGANDISHA KWA WEMA

BAADA ya kudaiwa kuwa msanii wa Bongo Muvi, Diana Kimari ni kati ya marafiki wa Wema Sepetu waliotakiwa kuwa mbali naye, mrembo huyo amefunguka kuwa,…

SOMA ZAIDI


MAMA D AWAKA ISHU YA KUMUIGA MOBETO

MAMA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Sanura Kassim ‘Mama D’ amegeuka mbogo baada ya kuambiwa kuwa amemuiga aliyekuwa mkwewe, Hamisa Mobeto na staili yake…

SOMA ZAIDI

MTOTO ALIA: MSINIACHE NIFE

“MIMI nakufa.” Inasikika sauti ya mtoto akiugulia maumivu huku mwili wake ukiwa umekonda kupita maelezo; wanaomsaidia wanamfariji kwa kumuambia kuwa hutakufa na yeye anasikika akisema…

SOMA ZAIDI

MTOTO WA PAPII, UTATA WAIBUKA!

DAR ES SALAAM: Wabongo sio watu wazuri kabisa! Siku chache baada ya msanii wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kutangaza kupata mtoto, Wabongo…

SOMA ZAIDI


MCHUMBA WA MOND ACHAFUKA UKWENI

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza tarehe ya kumuoa mrembo shombeshombe wa Mombasa nchini Kenya, Tanasha Donna Barbieri Oketch ‘Zahara…

SOMA ZAIDI


ROSE MUHANDO ALAZWA ICU KENYA

DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’, Risasi…

SOMA ZAIDI


KITAMBI CHA THEA CHAZUA GUMZO

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ hivi karibuni alizua gumzo kutokana na kuonekana kunenepeana na kuwa na kitambi kama mwenye ujauzito. Kutokana na…

SOMA ZAIDI


SISTER FAY AFUNGUKA ANAVYOHENYESHWA NA TCRA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Faidha Omary ‘Sister Fay’ ameeleza anavyohenyeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kisa kujiachia mitandaoni.     Akichonga na Za Motomoto News,…

SOMA ZAIDI


Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI