×


Risasi


Jayjay nimeumizwa na mapenzi!

MAUMIVU niache! Msanii wa filamu ya Who Is My Child, Janeth Jackson ‘Jayjay’ amekiri kuumizwa na kulizwa na mapenzi mara kwa mara licha ya kuwa…

SOMA ZAIDI

Kwa heri Celina…

Brighton Masalu na Denis Mtima BURIANI! Hatimaye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti na Utumishi wa Umma, Celina Stephano Ompeshi Kombani…

SOMA ZAIDI


Kufuru…Pati ya Diamond na Zari

Mwandishi wetu Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati…

SOMA ZAIDI

Otilia live na Ally Yanga

Bendi ya ToT, Otilia Boniface akidendeka ‘live’ na shabiki maarufu wa Yanga aitwaye Ally Said ‘Ally Yanga’. Richard Bukos, aliyekuwa Geita KATIKA hali iliyoashiria usaliti,…

SOMA ZAIDI

Uchaguzi wampa likizo JB

Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi…

SOMA ZAIDI

Wema amtaja mwanaume atakayezaa naye

Mrembo asiyepoteza ubora wake kunako tasnia ya Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Luis Munana Imelda Mtema BAADA ya kupita ukimya mrefu bila kuzungumzia mapenzi, mrembo…

SOMA ZAIDI

Mbasha na simulizi ya kutaka kujinyonga

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu KUMBUKUMBU ya kusikitisha! Siku chache baada ya kushinda kesi ya ubakaji wa shemejiye, Emmanuel Mbasha ameibuka…

SOMA ZAIDI

Magufuli gumzo Kanda ya Ziwa!

Mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufu. Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk John Pombe Magufuli ambaye…

SOMA ZAIDI

Davina acharuka kisa kurudi kwa mumewe

Imelda Mtema FUNGUKA! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amesema anakasirishwa na ‘wambeya’ ambao kila uchwao wamekuwa wakimuuliza atarudi lini kwa mumewe,  Abdallah…

SOMA ZAIDI

Simulizi ya JB: filamu zake Jerusalem

“Ngoja nikwambie kitu kimoja. Kuna vijana wengi siku hizi wanaweza kukufuata na kukwambia kwamba wanataka kuigiza, sawa, ila ukiwauliza kwa nini wanataka kuigiza, wanakwambia ni…

SOMA ZAIDI

Al-Shabaab ni nani? -9

Al-shabaab wavamia kanisa, kambi ya jeshi, 80 wauawa! ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza ni kwa jinsi gani Wanamgambo wa Kundi la Al-Shabaab wanavyozidi kuwa…

SOMA ZAIDI

Baba amrusha mwanaye ghorofani afa!

Mabastola akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Mwandishi Wetu STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini…

SOMA ZAIDI


Kajala umepaa angalia usianguke

KWAKO mwigizaji Kajala Masanja. Mambo vipi dada yangu, kitambo kidogo hatujaonana. Vipi mishemishe zinakwenda kama kawaida?Binafsi namshukuru Mungu naendelea vizuri. Kazi zinakwenda kama kawaida, tunapambana…

SOMA ZAIDI
Nisha, Baraka De Prince Mahaba Niue

Msanii anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ Imelda Mtema MWANADADA anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baraka…

SOMA ZAIDI

Magufuli, Lowassa wazua balaa

Na waandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku 35 kuelekea uchaguzi mkuu, kwa nyakati tofauti wagombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli na…

SOMA ZAIDI

Msomi chuo kikuu auawa

Shelitiael Steven Mbise enzi za uhai wake. Shani Ramadhani RIP! Kijana aliyefahamika kwa jina la Shelitiael Steven Mbise, aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom)…

SOMA ZAIDI

Mpasuko familia ya Diamond!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Mwandishi wetu Breaking news! Saa chache kabla ya ile sherehe ya kukata na shoka ya 40 ya…

SOMA ZAIDI

Mlela akiri kuponzwa na starehe!

Brighton Masalu YUSUF Mlela ‘Angelo’ amekiri kurudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na kuendekeza sana starehe siku za nyuma, ikiwemo ulevi kupindukia na kubadili wanawake. Akizungumza kwa…

SOMA ZAIDI

Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI