×


Risasi

Davina: Filamu Imebuma, Najiongeza

  Na Gladness Mallya MSANII wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameweka wazi kuwa baada ya sanaa hiyo kuonekana kubuma, sasa ameamua kujiongeza kwa…

SOMA ZAIDIMbasha aangusha pati

Emmanuel Mbasha akiwaongoza waimbaji wengine wakitumbuza kwenye sherehe hiyo. Musa Mateja ASANTE Mungu! Mume wa muimba Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameangusha bonge la pati nyumbani…

SOMA ZAIDI

Wastara ampa ampa kichapo bondi

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Brighton Masalu KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake,…

SOMA ZAIDISnura ahama uswazi, afanya dua!

Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi. Hamida Hassan na Gladness Mallya NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi ambaye kwa kipindi kirefu…

SOMA ZAIDI

JB alishwa sumu

Na Sifael Paul Habari mbaya iliyolifikia gazeti hili imeeleza kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amenusurika kifo baada ya kudaiwa kulishwa sumu…

SOMA ZAIDI


Sajenti aumbuka

Gladness Mallya na Hamida Hassan KABANG! Baada ya kukataa kwa kipindi kirefu kuwa hajazaa, msanii asiyekuwa na bahati ya kutoka kisanaa, Husna Idd ‘Sajent’ hatimaye…

SOMA ZAIDI

Wema, Aunt wakwepana Ikulu

Wema Sepetu Na Richard Bukos MAHASIMU wawili katika anga la mastaa, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote…

SOMA ZAIDI


Flora, mwanaye ndani ya filamu!

Flora Mvungi ‘H.Mama’ Gladness Mallya STAA wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amecheza filamu moja na mtoto wake aitwaye Tanzanite, akisema anafanya hivyo ili…

SOMA ZAIDI

Aunty Lulu: Wastara kubali yaishe

Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’…

SOMA ZAIDI

Kampeni zamkosesha mtoto Baba Haji

Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amesema kampeni za siasa zilizokuwa zikifanyika kuelekea uchaguzi mkuu uliopita, zimemkosesha kupata mtoto kwa vile alikuwa…

SOMA ZAIDI

Riyama kuwasaka wanaomtumia

Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo Riyama Ally amesema baadhi ya wasanii wanaomhitaji na kucheza nao filamu, huuza baadhi ya vipande vya filamu anazocheza bila idhini…

SOMA ZAIDIYaliyomo kwenye Gazeti la Risasi Jumatano

Kisa kumchafulia jina mjini… Gwajima, Flora kumlipa mamilioni Mbasha! -Mwanasheria afunguka, aeleza mlolongo mzima -Ishu imewakalia vibaya JB alishwa sumu! -Unataka kufahamu tukio hilo lilivyomkuta…

SOMA ZAIDI

Mrembo asakwa na RB 20

Mrembo Brigita Vitalis. Imelda Mtema AIBU! Kisa utapeli, mrembo Brigita Vitalis, mkazi wa Mtoni Kijichi anasakwa na polisi kwa RB 20 baada ya kudaiwa kuwaingiza…

SOMA ZAIDI

Diamond amlipua Wema

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz. Musa mateja BAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei…

SOMA ZAIDI


Wastara kukatwa mguu tena!

Wastara Juma akiwa na magongoImelda mtema MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online