×


Risasi

Aunt adaiwa kuhongwa gari

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Mama Cookie’mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Mozes’. MWANDISHI WETU BAADA ya kuanika picha za gari lake jipya aina…

SOMA ZAIDI

Nyumba Ya Diamond si yake

Nyumba ya Diamond inayodaiwa si yake. GLADNESS MALLYA IMELDA MTEMA IMEVUJA! Ile nyumba ya kifahari iliyoaminika ni ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’…

SOMA ZAIDI

Kazi Imeanza!

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na rais mteule wa awamu ya tano, Dk John Pombe Magufuli (kulia). ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS JANA, aliyekuwa mgombea urais…

SOMA ZAIDI


Matokeo uchaguzi… Lowassa mbishi

Stori: Erick Evarist MBISHI! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi…

SOMA ZAIDI


Diamond, Ommy Dimpoz wazinguana Marekani!

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mwandishi Wetu MAPENZI yanatingisha dunia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia nyota wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo…

SOMA ZAIDI

Kajala: Afadhali uchaguzi umefika

  Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa anamshukuru Mungu uchaguzi umefika kitu ambacho alikuwa akikiomba usiku na mchana. Akizungumza na…

SOMA ZAIDI


Mastaa wazungumzia uchaguzi

Na Gladness Mallya IKIWA kesho Jumapili ndiyo siku ya uchaguzi mkuu ambapo Watanzania wataamua nani awe rais wao, mastaa mbalimbali wamezungumza na Risasi Jumamosi kueleza…

SOMA ZAIDI

Al-Shabaab Ni Nani? -13

Marekani yatangaza kuua kiongozi wa Al-Shabaab ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza juu ya kundi haramu la kigaidi la Al-Shabaab lilivyotuma vitisho vya kutaka kuvamia…

SOMA ZAIDI

Ubunge kumwachisha Kingwendu uigizaji

Chande Abdallah Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’ ameweka wazi kwamba yupo njiani kuachana na mambo ya uigizaji mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza…

SOMA ZAIDI

Mainda awaomba radhi mashabiki

Brighton Masalu KUTOKANA na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kujihusisha na kazi yake ya uigizaji, msanii wa muda mrefu, Ruth Suka ‘Mainda’  amewaomba radhi…

SOMA ZAIDI

Mrembo amtibu Aunt kitambi

Mrembo Fatina Deus, ‘Fettylicious’ akiwa na Aunt Ezekiel. Imelda Mtema MREMBO aliyejulikana kwa jina la Fatina Deus, ‘Fettylicious’ amesema  amempa bure tiba ya kitambi staa wa…

SOMA ZAIDI


Mwalimu mkuu, mzazi wanaswa

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Umoja wa Mataifa iliyopo Upanga jijini Dar na mwanamke huyo. Mwandishi Wetu  DUNIANI kuna mambo! Katika hali ambayo haikutarajiwa,…

SOMA ZAIDI


Aibu! mke wangu amwaga radhi

Na Dustan Shekidele, Morogoro. MWANAMKE mmoja aliyetambulika kama mke wa mtu, aliyetajwa kwa jina la Mama Sabrana, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta kwenye aibu kubwa,…

SOMA ZAIDI

Shilole atoboa siri tattoo ya Nuh

Gladness Mallya STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoboa siri ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake Naftari Mlawa ‘Nuh’ akisema…

SOMA ZAIDI

Sitti Mtemvu aibuka kampeni za Fella

Gladness Mallya MISS Tanzania 2014 aliyevua taji kutokana na skendo ya kudanganya umri, Sitti Mtemvu juzikati aliibuka na kuwa kivutio kwenye kufunga kampeni za udiwani…

SOMA ZAIDI

Ester Kiama: Nimemmiss Dude

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Gladness Mallya MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online