×


Risasi

Mtaani kwetu kimenuka!

      Waswahili siku hizi wana neno lao utasikia ‘kimenuka’, ukisikia hilo ujue mambo yamekaa fyongo, basi hapa mtaani kwetu habari ndiyo hiyo. Uchaguzi…

SOMA ZAIDIFilikunjombe awaliza wabunge

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe, simanzi, vilio na huzuni vimetanda miongoni mwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano…

SOMA ZAIDI

Afumaniwa, ajitosa baharini

Chande abdallah na issa mnally AIBU! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuhura maarufu kama Lolo Princessa ambaye ni mpenzi wa kijana anayejulikana kama Koko…

SOMA ZAIDI

Shilole kumchora Nuh kalioni

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye moja ya kalio…

SOMA ZAIDI


Mapokezi ya Diamond Dar…mafuriko!

Musa Mateja USIPIME! Mapokezi ya ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipotua jijini Dar, juzi na tuzo tano alizojitwalia nchini Marekani yamesababisha mafuriko…

SOMA ZAIDI

Ruby akerwa na wakatisha tamaa

Msanii mwenye sauti ya kuvutia aliyeliteka soko la muziki wa Bongo Fleva kwa sasa, Hellen George ‘Ruby’ ametoa dukuduku lake moyoni juu ya watu wanaopenda…

SOMA ZAIDI

Kadinda aanza mikakati ya ndoa

Imelda Mtema MWANAMITINDO maarufu wa Bongo, Martin Kadinda amefunguka kuwa amechoka na maisha ya ubachela ameanza mikakati ya maandalizi ya ndoa yake. Akizungumza na gazeti…

SOMA ZAIDI

No Picture

Pete ya uchumba ya Bela yazua utata

Gladness Mallya IKIWA imepita miezi kadhaa tangu msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda ‘Bela’ avishwe pete ya uchumba na mwandani wake, Luteni Karama, pete…

SOMA ZAIDI

Flora Mbasha akiri: Mwanangu si wa Mbasha!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye…

SOMA ZAIDI

Kampeni zambadilisha akili Johari

Sta wa sinema za kibongo, Blandina Chagula maarufu kama Johari. MAYASA MARIWATA BLANDINA Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni mmoja wa wasanii wanaozunguka nchi nzima…

SOMA ZAIDI

Majuto arejea toka Makka shavu dodo!

Staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ alipowasili toka kuhiji Makka. Gladness Mallya na Hamida Hassan MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya…

SOMA ZAIDI

Jokate, Kiba picha sasa zinaiva

Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba wakikumbatiana. MAYASA MARIWATA NA BONIPHACE NGUMIJE MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe…

SOMA ZAIDI


Mr. Chuz aachana na filamu

Gladness Mallya MKONGWE kwenye gemu la filamu Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuz’ ameamua kuachana na filamu kwa kile alichodai kwamba hazilipi. Akichonga na paparazi wetu,…

SOMA ZAIDI

Kada CCM asimulia alivyonusa kifo!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Oging’ na Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama…

SOMA ZAIDI


Shilole Tumbo lalazua minong’ono

 Mwigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Stori: Musa Mateja KITUMBO cha mwigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kimezua minong’ono ya aina yake kutoka kwa mashabiki na mastaa mbalimbali na…

SOMA ZAIDI

Aunt atuhumiwa ushirikina

Moses Iyobo na Aunt Ezekie. Imelda Mtema MAKUBWA! Mzazi mwenziye na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo, Mwengi amemtuhumu mwigizaji Aunt Ezekiel kuwa ni mshirikina…

SOMA ZAIDI

Diamond ampelekea keki Rose Ndauka

Rose akipewa zawadi ya keki na Harmonizer kwa niaba ya Wasafi Classic Baby.Stori: Brighton Masalu na Musa Mateja. KUPITIA baadhi ya vijana walio chini ya kundi…

SOMA ZAIDI

Tunda atafunwa na skendo ya madawa

‘Video Queen’ mwenye mvuto Bongo, Tunda Koplo. Stori: Imelda Mtema SKENDO ya madawa ya kulevya imemtafuna ‘Video Queen’ mwenye mvuto Bongo, Tunda Koplo akidaiwa kutumia…

SOMA ZAIDI

Mastaa wamwanika mshindi wa urais

Mwandishi Wetu UTAFITI uliofanywa na gazeti hili umeonesha mastaa wa muziki na filamu Bongo wanampa asilimia nyingi zaidi za ushindi mgombea urais wa Chama Cha…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online