×


Risasi

Van Vicker kumfanyia sapraizi Wema

Wema Sepetu ‘Madam’, akiwa na muigizaji wa Ghana, Van Vicker. Stori:Imelda Mtema ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kabla ya kufanyika kwa sherehe ya bethidei ya muigizaji…

SOMA ZAIDI

Zari, Diamond biashara imekwisha!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Mwandishi wetu BIASHARA imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema…

SOMA ZAIDI

Aunty Lulu anaswa kwa sangoma

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka. Chanzo cha uhakika…

SOMA ZAIDI


Fundi mbaroni ubakaji wa denti

Dustan Shekidele, Morogoro. LAANA! Njemba mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, anayejishughulisha na ujenzi wa nyumba, mwishoni mwa wiki alinaswa kwa tuhuma za…

SOMA ZAIDI


Sandra awataka Aunt, Sajent kunyonyesha

Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini `Sandra’. MAYASA MARIWATA STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini `Sandra’ amewataka wasanii wenzake, Aunt Ezekiel na Husna Idd ‘Sajent’…

SOMA ZAIDI

Pedeshee katunzi ataka DNA ya Tiffah

 Issa Mnaly na Musa Mateja MAKUBWA tena! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akijinasibu kuwa mtoto Latiffa ‘Tiffah’ ni damu yake, pedeshee maarufu Bongo, Muzamil Katunzi…

SOMA ZAIDI

Rose Muhando.. Apata gonjwa…

Brighton Masalu MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amepatwa na gonjwa la ajabu ambalo licha ya kumtesa kila siku, lakini vipimo katika…

SOMA ZAIDI

No Picture

Lowassa kumzika Mtikila

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa. Mwandishi Wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,…

SOMA ZAIDI

Bibi aangua kilio mbele ya Magufuli

Richard Bukos aliyekuwa Manyara BIBI mmoja anayeonekana kula chumvi nyingi, Jumapili iliyopita alijikuta akiangua kilio baada ya kuzuiwa kuzungumza na Mgombea Urais wa Chama Cha…

SOMA ZAIDI


Mwanamke akutwa ndani kwa mtu!

Mwandishi wetu, Mwanza MAUZAUZA! Mwanamke mmoja mtu mzima, ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akiwa ndani ya nyumba ya mtu pasipo kueleweka namna alivyoingia,…

SOMA ZAIDI

Kiba,Hasheem wagongana kumuoa Jokate

Brighton masalu Mgongano! Mastaa katika category tofauti, Ali Saleh Kiba na Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA), Hasheem Thabit Manka, wanadaiwa kuchuana vikali…

SOMA ZAIDI

Wolper kufunga ndoa ya siri

Imelda Mtema BAADA ya kuvishwa pete na mwanaume aliyedaiwa kuwa na mume wa mtu, raia wa Kongo, mwigizaji Jacqueline Walper ‘Wolper’ amesema kamwe watu hawatajua…

SOMA ZAIDI

JB: Bora uigizaji kuliko ubunge

Erick Evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi. Akizungumza na mwanahabari wetu…

SOMA ZAIDI

Mjengo wa Lulu yadaiwa kigoma sokoni

Mayasa mariwata ULE mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambao alimzawadia mama yake Lucresia Karugila, imedaiwa umeshindikana kuuzika baada ya kutangaza kuupiga…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penny, Siza wanaswa kimahaba

Imelda Mtema WATANGAZAJI wa Shindano la Bongo Star Search, Penniel Mungilwa ‘Penny’ na Siza Daniel wamenaswa wakioneshana mahaba hadharani kama mtu na ‘bebi’ wake. Tukio…

SOMA ZAIDI

Hatari kubwa!

Mayasa mariwata na Shani ramadhani HATARI! Kufuatia kuwepo kwa madai kwamba, baadhi ya wakaanga chipsi mijini, hususan jijini Dar, wamekuwa wakitumia mafuta ya transifoma kukaangia…

SOMA ZAIDIKikongwe miaka 100 amtabiria magufuli

Kikongwe, Kete Abdallah Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe…

SOMA ZAIDI


Bela atafuta kiki kwa picha za utupu

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda. KATIKA kile kinachoaminika kama ni kutafuta kiki, Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amepiga picha za utupu na kuzitupia katika mitandao…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online