×


Risasi

No Picture

Lowassa kumzika Mtikila

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa. Mwandishi Wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,…

SOMA ZAIDI

Bibi aangua kilio mbele ya Magufuli

Richard Bukos aliyekuwa Manyara BIBI mmoja anayeonekana kula chumvi nyingi, Jumapili iliyopita alijikuta akiangua kilio baada ya kuzuiwa kuzungumza na Mgombea Urais wa Chama Cha…

SOMA ZAIDI


Mwanamke akutwa ndani kwa mtu!

Mwandishi wetu, Mwanza MAUZAUZA! Mwanamke mmoja mtu mzima, ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akiwa ndani ya nyumba ya mtu pasipo kueleweka namna alivyoingia,…

SOMA ZAIDI

Kiba,Hasheem wagongana kumuoa Jokate

Brighton masalu Mgongano! Mastaa katika category tofauti, Ali Saleh Kiba na Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA), Hasheem Thabit Manka, wanadaiwa kuchuana vikali…

SOMA ZAIDI

Wolper kufunga ndoa ya siri

Imelda Mtema BAADA ya kuvishwa pete na mwanaume aliyedaiwa kuwa na mume wa mtu, raia wa Kongo, mwigizaji Jacqueline Walper ‘Wolper’ amesema kamwe watu hawatajua…

SOMA ZAIDI

JB: Bora uigizaji kuliko ubunge

Erick Evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi. Akizungumza na mwanahabari wetu…

SOMA ZAIDI

Mjengo wa Lulu yadaiwa kigoma sokoni

Mayasa mariwata ULE mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambao alimzawadia mama yake Lucresia Karugila, imedaiwa umeshindikana kuuzika baada ya kutangaza kuupiga…

SOMA ZAIDI

No Picture

Penny, Siza wanaswa kimahaba

Imelda Mtema WATANGAZAJI wa Shindano la Bongo Star Search, Penniel Mungilwa ‘Penny’ na Siza Daniel wamenaswa wakioneshana mahaba hadharani kama mtu na ‘bebi’ wake. Tukio…

SOMA ZAIDI

Hatari kubwa!

Mayasa mariwata na Shani ramadhani HATARI! Kufuatia kuwepo kwa madai kwamba, baadhi ya wakaanga chipsi mijini, hususan jijini Dar, wamekuwa wakitumia mafuta ya transifoma kukaangia…

SOMA ZAIDIKikongwe miaka 100 amtabiria magufuli

Kikongwe, Kete Abdallah Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe…

SOMA ZAIDI


Bela atafuta kiki kwa picha za utupu

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda. KATIKA kile kinachoaminika kama ni kutafuta kiki, Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amepiga picha za utupu na kuzitupia katika mitandao…

SOMA ZAIDI

Mbasha arudishwa kortini tena

Mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu SIKU chache baada ya kushinda kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu…

SOMA ZAIDI

Maisha rahisirahisi

MFUMO wa mafanikio umejengwa kwenye mambo magumu.  Huhitaji kupiga ramli kujua kama utafanikiwa au la.  Kipimo chako ni jinsi unavyojiepusha na masuala rahisirahisi. Utajiri siyo…

SOMA ZAIDI

Jokate, Kiba wageuka gumzo Taifa

Waandishi Wetu MASTAA wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mkali wa kibao cha Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, juzikati waligeuka kivutio ndani…

SOMA ZAIDI


Jayjay nimeumizwa na mapenzi!

MAUMIVU niache! Msanii wa filamu ya Who Is My Child, Janeth Jackson ‘Jayjay’ amekiri kuumizwa na kulizwa na mapenzi mara kwa mara licha ya kuwa…

SOMA ZAIDI

Kwa heri Celina…

Brighton Masalu na Denis Mtima BURIANI! Hatimaye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti na Utumishi wa Umma, Celina Stephano Ompeshi Kombani…

SOMA ZAIDI


Kufuru…Pati ya Diamond na Zari

Mwandishi wetu Mastaa wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha bonge la pati…

SOMA ZAIDI

Otilia live na Ally Yanga

Bendi ya ToT, Otilia Boniface akidendeka ‘live’ na shabiki maarufu wa Yanga aitwaye Ally Said ‘Ally Yanga’. Richard Bukos, aliyekuwa Geita KATIKA hali iliyoashiria usaliti,…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online