×


Spoti Xtra

Kazi kwa Ozil Kusuka au Kunyoa

MEZUT Ozil amekuwa na wakati mgumu kutokana na kusugua benchi kwa muda mrefu na sasa kumeibuka taarifa kuwa hatakiwi na kocha wake kwenye klabu yake…

SOMA ZAIDI


SAMATTA ALIVYOWATEKA WAZUNGU

MBWANA Samatta amezidi kung’ara kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Ulaya kutokana na uwezo wake ndani ya uwanja. Samatta ambaye anaichezea KRC Genk inayoshiriki Ligi…

SOMA ZAIDI


BEKI MATATA ANUKIA MAN U

MANCHESTER United imeamua kuwaweka mastaa wake wawili sokoni ili kufungua njia ya kumsajili beki wa Napoli, Kalidou Koulibaly. Kwa muda mrefu Manchester United imekuwa inamfukuzia…

SOMA ZAIDI


Zahera Aanza na Gia Mpya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuingiza gia mpya kwenye mechi za mikoani kuanzia wiki ijayo kwani baada ya mechi na Mwadui ya Shinyanga…

SOMA ZAIDITiboroha: Namrejesha Manji Yanga

MGOMBEA wa nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Jonas Tiboroha amesema akipewa kura Jumapili atamrejesha kundini aliyekuwa Mwenyekiti na mfadhili wao, Yusuf Manji.   Yanga itafanya…

SOMA ZAIDI

Zahera Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamba kwamba kwa sasa hana wasiwasi na mechi yao dhidi ya Simba kutokana na kuimarika kwa kikosi chake tofauti…

SOMA ZAIDI


Makambo Aweka Rekodi ya Kibabe

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu kuweka rekodi ya aina yake baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Ligi…

SOMA ZAIDI

Zahera Aendeleza Ubabe Yanga

KOCHA wa Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera ameendelea kuweka rekodi ndani ya kikosi hicho baada ya kumzidi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, George Lwandamina kwa mafanikio…

SOMA ZAIDI

Makambo Atawafunga Sana

  KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema straika wake mwenye mabao 11, Heritier Makambo atatupia sana mzunguko wa pili kama hatajichanganya. Kwa sasa Yanga ipo…

SOMA ZAIDIStars Ikifuzu Kuibukia Kwa Misri

KUNA kila dalili kwamba Taifa Stars ikimfunga Uganda Machi 3 mwakani, itafuzu kwa fainali za Afcon ambazo zina nafasi kubwa ya kufanyika Misri badala ya…

SOMA ZAIDI

Mashujaa: Tupeni Yanga FA Tuwanyooshe

BAADA ya kuwaondoa Simba katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa kwa ushindi wa mabao 3-2, Mashujaa wanatamani kucheza na Yanga. Mashujaa FC wanashiriki Ligi Daraja…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online


ZILIZOSOMWA ZAIDI