×


Spoti Xtra

SPOTI XTRA LAZIDI KUTIKISA MTAANI

TIMU  ya masoko na usambazaji ya Global Publishers Ltd, leo Jumapili imetinga tena mitaa ya Banana, Kitunda, hadi Kivule kwa ajili ya kuwapa wasomaji elimu…

SOMA ZAIDI

Kagera Mpo Siriazi au Mnazuga?

LICHA ya dirisha dogo kufunguliwa lakini kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema hana mpango wa kusajili mchezaji yoyote katika usajili huu. Katika dirisha lililopita…

SOMA ZAIDI

DIRISHA DOGO SIMBA MZIKI MNENE!

WAKATI usajili Umefunguliwa Novemba 15, mwaka huu, tayari Simba wameshajiweka mguu sawa kuhakikisha wanasajili majembe yanayoweza kuwasaidia kufanya vizuri kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika na…

SOMA ZAIDI

YANGA YASHUSHA MASHINE TATU MPYA

YANGA imempa ruhusa Kocha Mwinyi Zahera, kumalizana na mastaa watatu wa kigeni aliokuwa anawataka na wiki ijayo akisharudi Dar es Salaam  watamfuata nyuma kuja kumwaga wino….

SOMA ZAIDI

Mbongo Afunika Mbaya Bundesliga

MDENMARK Yussuf Poulsen, ambaye mama yake ni mtanzania alifunika kwenye Bundesliga baada ya kupiga mabao mawili na kutoa asisti moja wakati timu yake ya RB…

SOMA ZAIDI

Thierry Achemka Monaco

KOCHA wa Monaco, Thierry Henry anakabiliwa na presha kubwa kutokana na timu yake kuboronga kwenye Ligue 1. Monaco ilicharazwa mabao 4-0 na Paris Saint- Germain, wikiendi…

SOMA ZAIDI

Tshishimbi arejea mzigoni Yanga

shimbNYOTA Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi hatimaye amerejea rasmi ndani ya kikosi hicho juzi Jumanne na kuanza mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda…

SOMA ZAIDI


ZAHERA AGOMA KUONDOKA YANGA

KOCHA mkuu wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amefunguka kuwa hata apate ofa ya dola 40,000(Sh90milioni) hawezi kuiacha Yanga sababu maisha sio fedha tu. Kocha huyo…

SOMA ZAIDI


CHIRWA AJIUNGA AZAM FC – VIDEO

KLABU ya Azam imemtambulisha straika wake mpya, Obrey Chirwa kujiunga na klabu hiyo kwa kandarasi ya miaka miwili kufuati kuvunja mkataba wake na Nogotoom ya Misri…

SOMA ZAIDI
Meneja asema alipo Ibrahim Ajibu

BAADA ya nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu kukosekana katika mechi mbili za ligi ambazo zote timu hiyo ilishinda bao 1-0, meneja ameibuka na kuweka mambo…

SOMA ZAIDI


SPOTI XTRA SASA GUMZO KILA KONA

KIKOSI cha mauzo cha magazeti ya Global Publishers, leo kimeingia tena mtaani kulinadi gazeti jipya na bora la michezo la Spoti Xtra ambalo liliendelea kuwa…

SOMA ZAIDI

Mbelgiji Simba Aipa Siri Stars

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa mechi ya Tanzania na Lesotho ndiyo itakayoamua hatma ya Taifa Stars kushiriki Afcon mwakani. Mwezi ujao Stars…

SOMA ZAIDIGlobal TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI