×


Uwazi

Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

Papaa Msofe akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Deogratius Mongela na Chande Abdallah, Uwazi DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, imetoa hukumu kwa…

SOMA ZAIDI

Polisi kuuana Mwanza, mapya yaibuka

Na Mwandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Bado Jiji la Mwanza limegubikwa na sintofahamu ya Polisi PC Daudi Elisha mwenye namba H 852 kumuua kwa kumpiga risasi…

SOMA ZAIDI

Vigogo wauza unga wakamatwa

Na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: WALE vigogo wanaosadikiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’ nchini wameanza ‘kutumbuliwa majipu’ kufuatia Jeshi…

SOMA ZAIDI
Tumbua ya Magufuli hawa wamekwenda

Rais Dk. John Magufuli. Na WAANDISHI Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Kazi imeshika kasi! Mpango wa Rais Dk. John Magufuli kutumbua majipu, umesababisha kung’olewa kwa…

SOMA ZAIDI


Aliyemchinja mama yake kisa ni hiki

Kijana Erasto Kilaini anayedaiwa kumuua mama yake. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23, (pichani) mkazi wa Mtaa wa…

SOMA ZAIDI


No Picture

Rukia: nateseka jamani

Na Chande Abdallah Rukia Kasende (63) mkazi wa Masasi, Mtwara ni mmoja wa wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam…

SOMA ZAIDI

No Picture

‘Shilingi milioni tatu zinaniua

Stori: Nyemo Chilongani Bado hali ya msichana aitwaye Ted Mallya (23) imeendelea kuwa mbaya kutokana na kukosa msaada wa kutosha kutokana na kusumbuliwa na kidonda…

SOMA ZAIDI

Mwanamke wa unga jela miaka 20

Anna Gemanist Mboya. Na Makongoro Oging’ Mrembo wa madawa ya kulevya ‘unga’, Anna Gemanist Mboya mkazi wa Kijitonyama, Kinondoni jijini Dar amefungwa jela miaka 20…

SOMA ZAIDI

Dunia katili!

Mtoto Sabrina akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa maji ya moto na jirani kisa TV. Na Makongoro Oging’ UBINADAMU umeisha! Ni ajabu lakini ni…

SOMA ZAIDI

Mchungaji wa Mainda akamatwa

Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa. Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata VIBALI noma! Mchungaji Boniface Godwin Mwamposa anayeendesha huduma ya Neno la Mungu kwenye ukumbi wa baa…

SOMA ZAIDI

A-Z aliyechinja mpenzi, watoto

Mtoto baada ya kufanyiwa unyama huo. Na Stephano Mango, SONGEA MAJONZI! Bado ni tukio baya sana kutokea katika Kijiji cha Kikunja, Kata ya Ndongosi, Wilaya…

SOMA ZAIDI
No Picture

Familia ilivyochinjwa

Na Victor Bariety, GEITA VILIO simanzi na majonzi bado vimetawala katika Kijiji cha Iteja mkoani Geita kufuatia watu watatu wa familia moja kufa kwa kuchinjwa…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online