×


Uwazi


Aliyetoa Siri Ya Muhimbili…

Chacha Makenge akiugulia. Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa CHACHA Makenge 38, (pichani), mgonjwa aliyetoa siri na malalamiko yake kwa Rais Dk. John Magufuli ‘JPM’ kuhusu ukosefu…

SOMA ZAIDI


Wanaswa wakijiandaa kulipua hoteli

Na Victor Bariety, Geita WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kutaka kuilipua hoteli moja maarufu iliyopo mjini hapa,…

SOMA ZAIDI‘Nateseka na Wadudu Miguuni’

Gerald Mwambungu. Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha KWELI hujafa hujaumbika! Kijana Gerald Mwambungu (33), mkazi wa Ubungo Dar, alizaliwa akiwa mzima lakini akaja kupatwa na…

SOMA ZAIDI

Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Uwazi

MGONJWA ALIYETOA SIRI MUHIMBILI KWA MAGUFULI, YAMKUTA! -Ni yule aliyeibua ubovu wa CT-Scan -Avamiwa anakoishi -Ahofia maisha -Azungumza na UWAZI mwanzo hadi mwisho. -Unataka kufahamu…

SOMA ZAIDI

Wabunge Bungeni Leo

LEO ni siku muhimu sana katika mstakabali stahiki wa nguvu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo wabunge mnaamua nani awe kiongozi wa…

SOMA ZAIDIPolisi auawa akimuokoa bintiye

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu. DAR ES SALAAM ASKARI Polisi wa Kituo cha Chuo Kikuu…

SOMA ZAIDI

Kifo cha Mtikila chatikisa upya

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, enzi za uhai wake. Na Haruni Sanchawa TENA! Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Democratic Party (DP),…

SOMA ZAIDI

Polisi Arusha waua wanafunzi

Abas Ally enzi za uhai wake Na Joseph Ngilisho, Arusha UTATA! Sintofahamu imegubika vifo vya wanafunzi wawili, Abas Ally (21) na Happines  Ibrahim ‘Happy’ (19),…

SOMA ZAIDI
Mjue Jaji Damian Zefrin Lubuva

Na Brighton Masalu CHETI chake cha kuzaliwa, kimeandikwa Damian Zefrin Lubuva. Huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye alizaliwa Septemba 21, 1940…

SOMA ZAIDI

Mchungaji Jela Miaka 30

Mchungaji huyo akiwa chini ya ulinzi pamoja na wenzake. Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa UHALIFU! Mchungaji kutoka Nigeria, Chid Okechukwi aliyekamatwa na kikosi kazi (task…

SOMA ZAIDI


Lowassa Aandaa Mkakati Mzito!

Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema). Na Waandishi Wetu MAPYA! Kuna madai kwamba, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa…

SOMA ZAIDI

Wameingia, Wametoka!

Anne Kilango Malecela. Stori: Oscar Ndauka TAYARI! Moshi mweupe umeanza kuonekana kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na urais wa vyama zaidi ya…

SOMA ZAIDI

Upinzani Wafutwa Rasmi Mwanza

Mgombea wa ubunge wa Ilemela kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Angelina Mabula. Na Mwandishi Wetu WAMEAMUA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wananchi wa mkoa wa Mwanza…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online