×


Uwazi
Magufuli amaliza kazi

Na Richard Bukos, Pwani MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, (pichani) amemaliza kazi huku akitarajia kumwaga sera za mwisho katika Viwanja…

SOMA ZAIDIWalinzi wakomba bilioni 1.8

Gari lililotumiwa na walinzi wao likiwa limetelekezwa. Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Taarifa toka vyanzo vyetu makini vya habari vinadai kwamba zaidi ya shilingi bilioni…

SOMA ZAIDI

Familia: Kadi ya benki ya Mtikila imeibwa

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Na Haruni Sanchawa KUFA kufaana? Tukio la ajali lililosababisha kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha…

SOMA ZAIDI

Kifo cha Filikunjombe, mapya yaibuka

Marehemu Deogratius Haule Filikunjombe ‘Deo’ enzi za uhai wake. Na Waandishi Wetu NI mapya! Ni kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa kwa…

SOMA ZAIDIMtemvu alivyotoa siri za Nyerere- 12

Naendelea na makala hii inayozungumzia jinsi Mtemvu alivyotoa siri za Nyerere miaka ya nyuma akiwa katika utawala wake. Sasa endelea… Mzee Zuberi Mtemvu nilipoonana naye…

SOMA ZAIDIAla kichapo, achimbiwa kaburi

Kijana Juma Rajabu akionekana mwenye majeraha. Na Haruni Sanchawa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma Rajabu, 23, (pichani) mkazi wa Kijiwe Samli Wilaya ya…

SOMA ZAIDI

Mtuhumiwa ugaidi anaswa na polisi!

Mtuhumiwa  huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja…

SOMA ZAIDI

DP: Mtikila aliawa kabla ya ajali

Marehemu Mch. Christopher Mtikila Na Waandishi Wetu MAPYAA! Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrati (DP), Abdul Juma Mluya ameibuka na kusema mazingira ya kifo…

SOMA ZAIDIMaswali 10 tata kifo cha Mtikila!

Na Waandishi Wetu BASI tena! Kifo cha ajali ya gari cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mtikila; shujaa aliyekufa akipambana

BAADHI ya watu walimtafsiri Mwenyekiti wa Chama cha Democrat (DP) na Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikila kama hazimtoshi f’lani hivi. Lakini siku…

SOMA ZAIDI

Mambo 7 vifo vya familia iliyochinjwa

HATIMAYE watu watano wa familia moja waliouawa kinyama kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana wamezikwa kijijini kwao huku vilio vikitawala eneo la mazishi. Tukio hilo la…

SOMA ZAIDI

Mama; siamini kama kuna uhai tena

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Kilio cha mwanamke huyu aliyejitambulisha kwa jina la Rhoda Chegele (50), kinatia huruma kwani amefikia hatua ya kusema kwamba haamini…

SOMA ZAIDI

Mtoto alivyoliwa na mbwa

Mtoto Jovina  Rwegasira, aliyeumwa na mbwa. Johnson James na Idd Mumba Mtoto mmoja mkazi wa Malimbe jijini Mwanza aliyefahamika kwa jina la Jovina  Rwegasira, 7, (pichani)…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online