CBA BANK KUWANYANYUA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKATI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania Dk.Gift Shoko (kulia) akizungumza na mkurugenzi wa kampuni ya Ultimate Finance, Elius Mtunguja (katikati) baada ya kufungua warsha iliyoandaliwa na benki hiyo, kwaajili ya kuwafunda wafanyabiashara wadogo na wakati jijini Dar es Salaam.

..Dk.Gift Shoko (kulia) akisalimiana na Mkuu wa idara ya sheria za biashara (BRELA), Rehema Kitambi kabla ya kufungua warsha iliyoandaliwa na benki hiyo.Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na wakati CBA, Joyce Ndyetabura. 

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, Dk.Gift Shoko akifungua warsha hiyo.

Wakijadiliana jambo.

Wafanyakazi wa benki ya CBA-Tanzania, na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa comment