CCM Yampongeza Mwenezi Arusha “Hatujamfukuza Daktari” – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Katibu Mwenezi wa chama hicho katika Kata ya Kata ya Levelosi baada ya kushughulikia uzembe unaodaiwa kufanywa na watendaji wa Kituo cha Afya Ngarenaro kilichobo Arusha mjini.

 

Hayo yamejiri baada ya daktari wa kituo hicho Dr. Japhet Kivuyo kudaiwa kufukuzwa kazi na  Katibu Mwenezi wa CCM  Kata ya Levelosi kwa madai ya kutokutwa kazini wakati wa muda wa kazi.

 

Akitoa pongezi hizo kwa niaba ya chama hicho, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Arusha, Sapulani Ramsey, amesema ilani imesimamiwa vizuri na si taaluma na kueleza kuwa wao kama chama hawana mamlaka ya kumfukuzisha daktari kazi.

MSIKIE AKIFUNGUKA HAPA

Loading...

Toa comment