CECAFA: Kikosi cha Stars Chatangazwa, Etienne Amuita Manula
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kilichoitwaa kwaajili ya michuano ya Mataifa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Senior Challenge Cup) itakayofanyika nchini Uganda kuanzia Desemba 7, hadi 19 mwaka huu.