CHADEMA Walipuka TENA “NEC Wanavuruga Uchaguzi” – Video

Kufuatia barua iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi Juni 6, kuhusu kusitisha ajira za muda kwa watumishi wa tume hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, leo Juni 8, wamezungumza na wanahabari na kudai kuwa, NEC inavuruga uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

 

CHADEMA WAKIFUNGUKA

Loading...

Toa comment