Chama Aanza Mazoezi Yanga Ona Picha Akiwa na Pacome Zoauzou
Kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Clotous Chota Chama akiwa kwenye picha na Pacome Zoauzou baada ya kuanza mazoezi rasmi na klabu yake mpya.
Itakumbukwa mwanzoni mwa msimu uliopita ulizuka mdajala mkali wa nani bora kati ya Chama na Pacome wakati wawili hao wakiwa pande tofauti za timu mbili za Kariakoo, mmoja akiwa Simba Sc na mwingine Yanga Sc.
Hivi sasa wawili hao wapo upande mmoja, Je ule mjadala bado unaendelea?