The House of Favourite Newspapers

Chama Alivyowapa Presha Mashabiki Wa Simba, Ahmed Ally Atoa Majibu-Video

0

GLOBAL TV imefanya mahojiano na afisa habari mpya wa Simba, Ahmed Ally, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao ikiwemo tetesi za usajili wa mchezaji Moses Phiri na kurudi kwa mchezaji Clatous Chama.

Leave A Reply