Kartra

Chama: Wasauz Wanakufa Kwao

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama ameweka wazi kuwa wamejipanga vizuri kwa kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi ugenini katika mchezo hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

 

Simba imeondoka nchini jana Alfajiri tayari kwa mchezo huo kwa kwanza robo fainali unaotarajiwa kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Soccer City nchini Afrika Kusini.

 

Akizungumza na Championi Jumatano, Chama alisema kuwa wamejipanga kwa kuhakikisha wanapata ushindi wa ugenini kwa kuwa malengo yao kwa sasa ni kuona wanafika katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo huku akisisitiza bado wanaheshimu wapinzani wao kwa kuwa ni timu kubwa.

 

“Tumejipanga vizuri lakini moja kati ya malengo yetu makubwa ni kuona tunawezaje kupata matokeo ya ugenini ili kuwa.

Stori: Ibrahim Mussa, Dar es Salaam


Toa comment