The House of Favourite Newspapers

CHAMPIONI EXCLUSIVE: RIPOTI KAMILI KUPATIKANA KWA MO DEWJI

Kufuatia kupatikana kwa bilionea Mo Dewji baada ya kutelekezwa na watekaji maeneo ya Gymkana, Dar usiku wa kuamkia leo, Gazeti la Championi linakuletea Habari Exclusive na Picha za tukio hilo.
 
  • Exclusive ya mtu ambaye atapewa kitita cha Tsh. Bilioni 1 iliyotangazwa na familia ya Mo.
  • Asimulia alivyotekwa, kufichwa uso na kujikuta amefungiwa kwenye chumba.
  • Dhumuni la watekaji hao, silaha za kivita zakutwa kwenye gari.
  • IGP Sirro, RPC Mambosasa wanasemaje? Wananchi je?
  • Kulisoma gazeti hili, Install App ya Global Publishers kisha nunua Tsh. 300 tu kupitia M-Pesa au Tigo Pesa.
  • Kwa wale wenye App ya Global Publishers unachotakiwa ni kwenda kwenye ‘Menu’ ya Magazeti na kisha nunua kwa Tsh 300 tu kupitia M-Pesa au Tigo Pesa.

Android ===> GooglePlay

iOS ===> AppStore

Comments are closed.