The House of Favourite Newspapers
gunners X

Promosheni ya Baba Lao Yafikia Patamu, Wasomaji Wapagwa!

0

LILE shindano la wasomaji wa magazeti ya bora ya michezo yanayoongoza kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, Championi na Spoti Xtra, ambapo mshindi anatarajiwa kukabidhiwa gari jipya aina ya Toyota FunCargo sasa linaelekea ukingoni kwa ajili ya mshindi kukabidhiwa ndinga hiyo.

Jana Alhamisi, Kitengo cha Masoko na Usambazaji cha magazeti hayo, kilitua mitaani maeneo mbalimbali ya Tegeta jijini Dar na kwa ajili ya kuendelea kuwahamasisha wasomaji hao kuzidi kununua magazeti hayo na kukata kuponi iliyopo ukurasa wa pili wa magazeti hayo kwa ajili ya kushiriki bahati nasibu hiyo.

Akizungumza na wasomaji hao Mkuu wa Kitego hicho, Anthony Adam aliwaambia wasomaji hao wazidi kushiriki shindano hilo kwa gari hiyo inatarajiwa kukabidhiwa kwa mshindi mapema mwezi ujao.

Akiwahamasisha wasomaji hao Anthony aliwaambia sambamba na ushindi wa gari washindi wengine wataondoka na zawadi mbalimbali kama vile simu za kisasa za mkononi (smart phone), pesa taslimu na zawadi nyinginezo.

Anthony aliwaeleza wasomaji kuwa wanaponunua magazeti hayo wakate kuponi iliyopo ukurasa wa pili na kuijaza kisha kumpatia muuza magazeti yeyote waliye karibu naye ambaye atawaziwasilisha ofisi za magazeti haya na kuigizwa kwenye shindano hilo.

JINSI YA KUSHIRIKI
Nunua Gazeti la Championi, kisha fungua ukurasa wa pili ambapo utakutana na kuponi yenye maelekezo ya kushiriki bahati nasibu hiyo. Jaza kuponi kama maelekezo yalivyo.

 

JINSI YA KUTUMA:
Mpe kuponi yako muuza magazeti aliye karibu nawe popote ulipo, au peleka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza Mori, Dar, au tuma kwa njia ya barua, Jishindie Gari, Global Publishers, S.L.P 7534, Dar es Salaam.

 

 

MASHARTI YA KUSHIRIKI:
Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd na watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kushiriki bahati nasibu hii.

Kuponi zitumwe kutoka nakala halisi ya gazeti, vivuli (fotokopi) haviruhusiwi. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi kadiri awezavyo ili ajiongezee nafasi ya kushinda. Kuponi zote zitachezeshwa kwenye droo ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.

HABARI/PICHA:RICHARD BUKOS /GPL

Leave A Reply