The House of Favourite Newspapers

Cheki Hii Ambayo Wajanja Wote Wanaitumia Mjini, Vodacom Red RLX

0


Global TV Online imetembelea kituo cha mauzo na huduma kwa wateja wa Vodacom RED RLX pande za Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam ambapo watoa huduma hao, ameeleza maujanja yanayopatikana kwenye vifurushi vya kijanja vya RED RLX.

Shose Ngowi ni mtoa huduma katika kituo hicho ambapo ndani ya avideo hii, anakufafanulia kwa kina jinsi vifurushi vya RED RLX vilivyo, jinsi ya kujiunga, faida na manufaa anayoyapata mtumiaji wa Vodacom.

Leave A Reply